KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Sheikh alikuwa mgonjwa kitambo tu. Msiba upo Mbezi, atazikwa leo mida ya saa 10 jioni makaburi ya Mwinyimkuu, hatosafirishwa kupelekwa Mwanza!
Jaman tunaomba chanzo cha kifo chake ..vyanzo vingine vinadai kauwawa na watu wasiojulikana
Ni yupi huyu, tafadhali picha kama iko maana wengine hatumfaham! Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu
Huyo ndio sheikh ilunga
Kama anaistahili Pepo aende