Tanzia:Steve Bohouri akutwa amefariki mtoni.

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,181
Mchezaji matata wa timu ya taifa ya ivory coast Steve 34,ambaye alikuwa kwenye ligi ya bundasiliga amekutwa amefariki ndani ya mto ujerumani ,steve alipotea tangia Dec 12 mwaka Jana na mwili wake uliokotwa mtoni siku ya Tar 31 mwaka Jana.
 
Back
Top Bottom