TANZIA: RPC Singida afariki dunia

Magari ya washa washa yameshindwa kumkinga asikufe!!!?

Sicheki bali napenda manjagu wanaosoma wawe na ufahamu wa juu psychologically wanapo deal na mankind.
 
Siku mzazi wako akifa ukumbuke kauli yako hii

Lakini kama mwenye busara yeyote atakayesikia kifo cha mtu yeyote kwanza atawafikiria waliobaki. Only
Unaogopa kifo ?Kila mtu atakufa kwa wema au kwa ubaya. Sasaunenda vitani kufanya nini km wewe ni mnafiki hivi? ASKARI WOTE HATA WAKIWA WALIKUTENDEA WEMA WAMEFANYA MABAYA KWA WENGINE WENGI SANA.ASKARI WOTE WA BONGO NI WAOVU.
 
Yale mabunduki wanayorudiarudia kuyaonyesha kwaba majambazi sugu wameshikwa,sio habari nzuri kwa watu wenye ndugu.Tuache unafiki wakifa wajue tunafurahi,kizazi kingine kija na nafasi ya kupata watu walioanza kuanza hizo njia zao za kupanda vyeo.
 
Unaogopa kifo ?Kila mtu atakufa kwa wema au kwa ubaya. Sasaunenda vitani kufanya nini km wewe ni mnafiki hivi? ASKARI WOTE HATA WAKIWA WALIKUTENDEA WEMA WAMEFANYA MABAYA KWA WENGINE WENGI SANA.ASKARI WOTE WA BONGO NI WAOVU.
Concern yangu Nicholas ni kwamba yeye hayupo na wala hakusikii, zaidi unatuumiza sisi ndugu zake kwa comments kama hizi

Kwa ID yako naamini we ni mkristo mwenzetu. Naamini unaelewa mafundisho ya Yesu barbara
 
R RIP kamanda. Kumbe Kamanda Sodoyeka alishabadilishwa,ndiye niliyemjua kama RPC Sngd.
 
MWILI UTOKE DAR UENDE SINGIDA URUDI RUKWA?
R.I.P. KAMANDA.

Fahamu kuwa pale singida kuna familia yake, ndugu na watumishi wenzake. Hivyo, ni busara sana mwili wa marehemu kuagwa ktk kituo chake cha kazi.

Mungu awaongoze vema ktk kumsitili mwenzetu.
 
Du,ilishindikana kumkimbiza India!?R.I.P Kamanda
India hawafi mkuu?

Kifo ni ahadi na kila kilicho hai (nafsi) itaonja mauti hivyo ahadi ikifika hakuna wa kuzuia.

Wanasayansi na mbinu zao zote wameshindwa kudhibiti kifo na hatakuwepo licha tu ya kudhibiti Bali wa kujuwa sekunde,SAA,siku,mwezi wala mwaka wa kuondoka duniani.

Inna illahwainna lillah rajiun.

Ushauri.
Ni bora kuamini uwepo wa Allah na mitume wake ili siku ukifa ukimkosa usipate hasara,kuliko kutoamini uwepo wake siku ukifa ukimkuta utakuwa na hasara kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…