TANZIA: RPC Singida afariki dunia

Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa RPC Singida alikuwa Thobias Sedoyeka? au kulifanyika mabadiliko siku za karibuni?
 
Naye aliwapigia wananchi jaramba ?!. R I P Maisha ndivyo yalivyo .
 
Poleni jeshi la polisi, familia, ndugu na jamaa
 
Dah, najaribu kuangalia familia yake itakavyoishi bila yeye. Mungu awape subira
 
Poleni sana wafiwa. Lakini hili la mwili kutolewa Dar uende singida halafu rukwa kwa maazishi inadhibitisha jinsi serikali inavyobana matumizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…