TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

Siaminikabisamaana kunawakati
na mara kadhaanimewahi kuona
Tangazo kama hilibaadaeikawa hewa
 
Muda wake umetimia kuondoka hapa duniani..! Namkumbuka Morgan Tsvangirai alivyosumbuka kwa Mugabe.
 
Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake tutamkumbuka kwa mema mazuri aliyofanya RIP MUGABE
 



One bright morning when this life is over man will fly away from home to zion.
 
Back
Top Bottom