sio EG106 mkuu ni SD106 ndo linavoitwa hilo somo..EG 106!!!! Dah enzi hizo! Trusses na mvua!!!
sio EG106 mkuu ni SD106 ndo linavoitwa hilo somo..
mkuu usimbishie sd ilikua kwa watu wa structure eng (civil yote) ila wengne kama mining electrical telecom na coet wengne walikua na code tofaut na sdsio EG106 mkuu ni SD106 ndo linavoitwa hilo somo..
Nakumbuka SD105 it was really good at that tim....RIP prof...Poleni zetu kwa wanafunzi wote wa udsm hasa coet
Miaka hiyo akiwa Asst Lecturer wetu FoE.View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
mkuu tulikuwa mwaka mmoja nini?I remember ilikuwa lecture theatre 2RIP Prof. Nakumbuka mfano wako kwenye Vectors...mstari toka ubaoni hadi nyumbani kwa mama yako Bukoba..dahh.. ulikuwa mwalimu mzuri