Tanzia: Mzee Kasongo wa Iringa afariki dunia

Tanzia: Mzee Kasongo wa Iringa afariki dunia

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,732
Reaction score
14,141
Tunasikitika kuwahabarisheni kwamba Mzee maarufu kwa jina la Kasongo amefariki dunia.

Mzee Kasongo ni yule mwimbaji maarufu wa kwaya kuu. Ni mmoja wa waanzilishi wa biashara ya taxi Mjini Iringa.

Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

Tunawapa pole ndugu
wote wafiwa.

 
Back
Top Bottom