NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
Habari wana Jf,
Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CDM wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CDM wamepoteza JEMBE la UKWELI.
R.I.P E. Mgawe.
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda??Ni kweli kamanda wetu alitutoka usiku wa kuamukia juzi. Alale mahali pema peponi mpiganaji Mgawe. Ametimiza wajibu wake duniani, akijitoa akili, mwili na roho yake kwenye mabadiliko kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho.
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda??
Kweli hicho chama ni cha watu wachache wa kule kule na wanaangaliana wenyewe tu!!
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda? Kweli hicho chama ni cha watu wachache wa kule kule na wanaangaliana wenyewe tu!!
Habari wana Jf,
Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CDM wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CDM wamepoteza JEMBE la UKWELI.
R.I.P E. Mgawe.