TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma afariki

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,960
2,938
Habari wana Jf,

Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CHADEMA wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CHADEMA wamepoteza JEMBE la UKWELI.

R.I.P E. Mgawe.
 
Poleni sana,tutaendeleza ulichokianzisha.R.I.P amen.
 
Ni kweli kamanda wetu alitutoka usiku wa kuamukia juzi. Alale mahali pema peponi mpiganaji Mgawe. Ametimiza wajibu wake duniani, akijitoa akili, mwili na roho yake kwenye mabadiliko kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho.
 
RIP kamanda, hakikisha unajiunga na Chacha wangwe, Regia mtema na makamanda wengine waliotangulia mbele ya haki na mnaanzisha mapambano kutokea upande wa huko kwa ajili ya kuikomboa nchi yetu kutoka katika mikono ya mafisadi.
 
RIP
Kamanda!! Tunachukua silaha yako tunasonga mbele..... Kuyasaka
majangili!!!........ mapambano bado yanaendelea!!!
 
RIP Kamanda. Wanakufa Wazalendo,majemedari wa ukweli,wezi na mafisadi wanaotutaabisha hapa nchini kwetu wapo.I wish ningekuwa nimepewa adjuster ya kuadjust Pumzi,wangenikoma.
Habari wana Jf,

Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CDM wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CDM wamepoteza JEMBE la UKWELI.

R.I.P E. Mgawe.
 
Ni kweli kamanda wetu alitutoka usiku wa kuamukia juzi. Alale mahali pema peponi mpiganaji Mgawe. Ametimiza wajibu wake duniani, akijitoa akili, mwili na roho yake kwenye mabadiliko kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho.
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda??
Kweli hicho chama ni cha watu wachache wa kule kule na wanaangaliana wenyewe tu!!
 
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda??
Kweli hicho chama ni cha watu wachache wa kule kule na wanaangaliana wenyewe tu!!

Upewe wewe taarifa kama nani!!!! Kiherehere kitakumaliza.
 
Mwenyekiti wa wilaya anafariki toka juzi na CDM hawajatoa taarifa yoyote?? Au kwavile siyo wa ile kanda? Kweli hicho chama ni cha watu wachache wa kule kule na wanaangaliana wenyewe tu!!

Mkuu Rejao,
Habari za siku nyingi Kamanda? Kitambo sana Mkuu wangu.
Pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jf,

Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CDM wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CDM wamepoteza JEMBE la UKWELI.

R.I.P E. Mgawe.

INNA LILAH WAINA ILLAH RAJUUN,
EE MOLA WETU MTUKUFU MLAZE MMGAWE MAHALA PEMa PEPONI. AMIN
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom