Kwa wale waliokua wapenzi wa bongofreva nadhani watalua wanamfahamu msanii John Woka alikua akitamba na style au mtindo wake wa kurap kama mlevi,
Alitamba na nyimbo kama UMASKINI HUU , SHEMEJI , WALIMU, na nyingine nyingi alikua akiimba na mwanamziki mwenzake MJALUO ,
taarifa iliotufikia inasemekana amefariki dunia katika hospitali ya muhimbili na msiba upo maeneo ya buguruni bungoni
BWANA AMETOA NA BWANA AMETOA JINA LA BWANA LIIMIDIWE, AMEN! !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.