malikafif84 Member Feb 6, 2013 37 29 May 23, 2017 #1 Wakazi wa Ilala Amana tumepatwa na Msiba wa Mke wa muuza chips maarufu kwa jina la Barafaa, Msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Moshi na Mwanza nyumba ambayo anafanyia biashara yake ya chips.
Wakazi wa Ilala Amana tumepatwa na Msiba wa Mke wa muuza chips maarufu kwa jina la Barafaa, Msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Moshi na Mwanza nyumba ambayo anafanyia biashara yake ya chips.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,055 69,570 May 23, 2017 #2 Poleni sana wakuu...Mungu awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,825 May 23, 2017 #4 Poleni ndugu wote..marehemu apumzike kwa amani.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 48,994 43,148 May 23, 2017 #6 Pumzika kwa amani mke wa mjasiriamali
Rubawa JF-Expert Member Dec 25, 2015 2,055 3,240 May 23, 2017 #7 R.I.P mama yetu kipenzi pole sna kaka mkubwa SIWA
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 270,450 1,103,766 May 23, 2017 #11 R.I.P Sijaelewa msiba upo moshi,mwanza au ilala?
malikafif84 Member Feb 6, 2013 37 29 May 23, 2017 Thread starter #12 Numbisa said: R.I.P Sijaelewa msiba upo moshi,mwanza au ilala? Click to expand... Msiba upo Ilala Mtaa wa Moshi na Mwanza, hii ni mitaa iliyopo Ilala imepakana kwa ukaribu.
Numbisa said: R.I.P Sijaelewa msiba upo moshi,mwanza au ilala? Click to expand... Msiba upo Ilala Mtaa wa Moshi na Mwanza, hii ni mitaa iliyopo Ilala imepakana kwa ukaribu.