Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
Police hawatazuia kweli
Sijakuelewa kamanda kwani kuna uhusiano wa kifo chake?It pains
Nilibahatika kufanya nae kazi mwezi August mwaka huu akiwakilisha Azam tv ......alikuwa bado kijana mdogo lakini mwenye bidii ukimuona hata mara moja unaweza kugundua haraka kwa jinsi anavyojituma .....pole kwa mke wake, mtoto wake, familia na jamaa zake wote .... R.I.P Ismail ....