TANZIA: Fr Babu wa Ngarenaro Arusha afariki dunia

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,944
image.jpeg
image.jpeg

Shirika la Roho Mtakatifu Tanzania wamefiwa na mmoja wa waasisi wa shirika hilo hapa Tanzania,maarufu kama Fr BABU.

Huyu ndio alianzisha hospitali ya St.Elizabeth(Faza Babu) Ngarenaro,Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro,sekondari ya wasichana Ngarenero na sasa hivi tawi la Chuo Kikuu cha Mt.Augustine na USA River Junior Seminary pamoja na Njiro Philosophy College(Spiritan Philosophy College-affiliated to CUEA)

Raha ya Milele uumpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie,Apumzike kwa Amani.AMINA
 
View attachment 449531 Shirika la Roho Mtakatifu Tanzania wamefiwa na mmoja wa waasisi wa shirika hilo hapa Tanzania,maarufu kama Fr BABU.

Alifanya mengi ya kumwinua Mungu hapa Duniani. Naikumbuka pia ile Kwaya.

R.I.P. Father Babu
 
Profile yake inaonyesha wazi amefanya mambo mengi ambayo yanasaidia binadamu bila kujali identities zao na sio mambo ya kukomoana na kuwekana mahabusu! RIP Babu Arusha na kwingineko tutakukumbuka!
 
Fr. Babu apumzishwe kwa Amani

Hata hivyo alifikia uzee sanaa na ninaamini ana miaka mingi kweli kwasasa.

Pia amefanya mengi makubwa sio tu kwa Ngarenaro.
 
View attachment 449531 Shirika la Roho Mtakatifu Tanzania wamefiwa na mmoja wa waasisi wa shirika hilo hapa Tanzania,maarufu kama Fr BABU.

Huyu ndio alianzisha hospitali ya St.Elizabeth(Faza Babu) Ngarenaro,Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro,sekondari ya wasichana Ngarenero na sasa hivi tawi la Chuo Kikuu cha Mt.Augustine na USA River Junior Seminary pamoja na Njiro Philosophy College(Spiritan Philosophy College-affiliated to CUEA)

Raha ya Milele uumpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie,Apumzike kwa Amani.AMINA

Apumzike kwa amani mpendwa wetu Padri Babu; wakazi wa Arusha watakukumbuka kwa mengi mema uliyoyasimamia katika kazi za kitume na huduma za jamii. RIP Fr Babu
 
Back
Top Bottom