RIP lakini alikuwa Kibaraka (Pandkizi) wa CCMMwanasiasa mkogwe na lecturer wa zmn wa udsm Dr Che-Mponda amefariki leo asb ktk hspt ya massana. Atakumbukwa kama wanasiasa wa kwanza kwanza kua upinzani wakati vyama vingi vilipoanza Tanzania.
RIP
Nakumbuka PhD yake ilikuwa ktk Mgogoro wa Ziwa NyasaMwanasiasa mkogwe na lecturer wa zmn wa udsm Dr Che-Mponda amefariki leo asb ktk hspt ya massana. Atakumbukwa kama wanasiasa wa kwanza kwanza kua upinzani wakati vyama vingi vilipoanza Tanzania.
RIP
LoMwanasiasa mkogwe na lecturer wa zmn wa udsm Dr Che-Mponda amefariki leo asb ktk hspt ya massana. Atakumbukwa kama wanasiasa wa kwanza kwanza kua upinzani wakati vyama vingi vilipoanza Tanzania.
RIP
Mwanasiasa mkogwe na lecturer wa zamani wa UDSM, Dr Che-Mponda amefariki leo asubuhi ktk hospitali ya Massana.
Atakumbukwa kama wanasiasa wa kwanza kwanza kuwa upinzani wakati vyama vingi vilipoanza Tanzania.
RIP
chama chake TPP kilishafutwa na yeye alijiunga na magamba.wakuu aliyekua muasisi wa chama cha TANZANIA PEOPLE PART(TPP) amefariki dunia katika hospital ya masana mbezi beach alipokuwa kalazwa. hili ni moja ya pigo kubwa katika tanisia ya siasa hasa upinzani.
wakuu aliyekua muasisi wa chama cha TANZANIA PEOPLE PART(TPP) amefariki dunia katika hospital ya masana mbezi beach alipokuwa kalazwa. hili ni moja ya pigo kubwa katika tanisia ya siasa hasa upinzani.
Asanteni sana. Baba amezikwa kijijini , Ilela, Manda, siku ya April 8, 2015.