Diwani wa Chadema kata ya Nyasura wilaya ya Bunda ndugu Zamberi Mwisarya Ngobayi amefariki dunia jana tarehe 28.10.2013 ktk hosp ya Bugando Mwanza kwa ugonjwa wa moyo. Bwana ametwaa!
RIP kamanda, tuliobaki tutakuenzi kwa kushinda 2015
r.i.p mpinzani