MTU WA NJIA HII
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 237
- 52
Diwan wakata ya Mwabaluhi mjini Sengerema Mwanza mh.Paul Lubongeja akijulikana zaidi kwa jina la Paluma amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 22/11/2014.Mazishi yatafanyika kwao Katunguru.Wananchi wa Mwabaluhi hawatakuwana diwani karibu mwaka mzima.
Kwa coment hizo hapo juu magamba wamepoteza uhalali wa kuishi.
Nauliza
1alikuwa anatetea hela za Esrow kuwa ni za wananchi??
2.Alikuwa anatetea rasimu ya Warioba???
Vingine ..
.... Magamba wafe tu wote