ha ha ha nimecheka sana hii ni sera mpya wa CCM. Vigogo wakae chonjo watoto wao watawamaliza ili wachukue nafasi zao.
waache wafe watupunguzie kazi chadema
Hivi kwa nini bavicha wote mnafanana akili?
Mkuu kama si kuwa katika majonzi ningekushughulikia nimekuweka kiporo. R.I.P Mapalala
RIP Wanae wajiandae kuchukua fomu
Heri!!Mkuu kama si kuwa katika majonzi ningekushughulikia nimekuweka kiporo. R.I.P Mapalala
Ha ha ha!Hujipendi!?? utamshughulikia masopakyindi wewe!?? au unataka kibarua chako pale Lumumba kikome ghafla!??' jiangalie mdomo usiponze kichwa. Lala panapokustahili diwani gamba.
Nyie wauwaji unadhani mtadumu?Waache wafe watupunguzie kazi chadema
Hiki kinachouwa watu kwa sumu, tindikali na kuwateka na kuwapiga vibaya kisha kuwatelekeza msituni? Kama kilivyomfanyia mwenyekiti wao wa wilaya ya temeke?Pole yake maana hatayaona mageuzi ya kimfumo, kiserikali na kuparanganyikaa kwa chama cha wanyonyadamu ccm
Ana mtoto mwenye sifa ya kugombea udiwani hapo?Wa chama cha mapinduzi ccm
Ana mtoto mwenye sifa ya kugombea udiwani hapo?
Ameuawa na chadema huyo.
Kauli hii inaweza kumlenga baba yako sijui utajisikiaje yakimfika mzazi wako hiyo roho mbaya umeitoa wapi.