Alikuwa mfupi lakini mkakamavu na mwenye utu sana RIP mzee wetuWanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Alikuwa anawapenda wapiganaji chini yake. Anabaki katika historia kama CO pouwa sanaWanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Masahihisho madogoSiku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
You are right. Thank youMasahihisho madogo
Hatukuwahi kuwa na mkuu wa majeshi akiitwa Major General Mkisi.
Ila kama kumbukumbu zangu zinanielekeza vyema ni kuwa tuliwahi kuwa na mkuu wa jkt akiitwa Major General Mkisi
Pamoja sirYou are right. Thank you
Mkuu wa majeshi gani anaitwa Mkisi?Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
.....aliwahi kuniambia nafanana sana na mtoto wa dadake huko Moshi.Alikuwa ni Mkuu wetu wa Kikosi tukiwa Mafinga - tulipopita pale kwa Mujibu wa Sheria - RIP Colonel.