TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Hivi huko dar hawa watu mnaishije nao ? Wana stori gani sasa au nao wanaongea kuhusu kut***w* ? ,dah mtu kama huyu mimi sikai nae hata karibu ,,kama mungu katukataza kukaa karibu na dem mwenye period itakua hawa
 
Sasa ushoga na kifo kinahusikaje , kwa hyo vifo wamewekewa mashoga tu ?? Mungu anakuona binamu
Binamu pole na msiba, sikuwa na lengo la kukuumiza kwenye kipindi kigumu.

Ila ishu yangu ilikuwa ni watu wengi mashoga hasa nchi zetu za kimaskini wako na hatari ya kupata magonjwa mengine kama HIV na Cancer na life span yao ni ndogo kuliko wasio mashoiga. Hili limethibitishwa kisayansi kabisa. Simtakii binadam yeyote afariki.
Mambo madogo haya ndugu yangu. Poleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom