TANZIA: Balozi Abdul Sisco Mtiro afariki dunia hospitali ya Aga Khan

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mwanamichezo mkongwe na Mkuu wa Itifaki Mstaafu, Balozi cisco mtiro amefariki dunia leo Aga Khan Hosp, DSM alikuwa akipata matibabu.

Marehemu cisco mtiro alikuwa balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia,Singapore na Laos.


Marehemu Sisco Mtiro enzi za uhai wake​

Mada mbalimbali kumhusu Marehemu cisco mtiro
=> Rais Kikwete amteua bwana Sisco kuwa Balozi
=> Balozi Sisco akabidhi hati zake
=> Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia kujitetea Baraza la Maadili


Rais mstaafu Kikwete akiwa na Mkuu wa Itifaki Ikulu Sisco Mtiro


Marehemu Sisco(Kushoto) enzi za uhai wake​
 
Hivi CCM nao huwa wanakufa?Wangeyajua hayo wasingekuwa wanadhihaki misiba ya wengine.Angalia kinachojiri kwenye msiba wa Ndesamburo!
 
Amenikumbusha enzi za mshike mshike ubunge Temeke chini ya shehe yule maarufu"SHEHE MTOPEA".Sjui yupo wapi siku hizi. RIP Cisco.
 
Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…