Tanzia: Askofu Mabumba afariki dunia

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,853
Yule askofu aliyesema ndugu Lowassa asiposhinda urais 2015 basi tumuue kwa maana anauhakika na unabii wake... amefariki.

R. I. P Pastor.
 
Attachments

  • 1440430921218.jpg
    15.4 KB · Views: 1,594
  • 1440430972115.jpg
    34.7 KB · Views: 1,459
Kwahiyo hii inaashiria nini kwa Lowasa?
 
Ysonyesha alikua na furaha kupita kiasi kuona maono yake yanatimia, furaha mpaka presha mpaka mauti.
naomba watanzania tuwe na furaha kiasi juu ya ushindi wa LOWASA.
 
Ysonyesha alikua na furaha kupita kiasi kuona maono yake yanatimia, furaha mpaka presha mpaka mauti.
naomba watanzania tuwe na furaha kiasi juu ya ushindi wa LOWASA.
Wapumbavu huwaza kipumbavu na kuamini kipumbavu.
 
Yeye alisema tumuue sasa kafa mwenyewe message delivered
Akapumzike alipostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…