Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,841
- 38,737
Kwani huyu Al Sisi aliempindua ni Mkristo wa Dhehebu gani Mkuu?kilichomponza yeye na Kikundi Chake cha Muslim Brotherhood ni siasa zao Kali na za ubaguzi bila kusahau mauaji kwa wapinzani wao.Mimi sijui dunia inahubiri Democrasia gani. Mohamed Mursi alimshinda mpinzani wake Ahmed Shafiq kwa kura halali kabisa. Wamisri walio wengi walimchagua yeye mgombea wa Muslim brotherhood. Kilichotokea ni kumuondoa madarakani kisa dini. Sawa sio mbali tunakokwenda.