Tanzia: Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohamedi Morsi amefariki dunia akiwa Mahakamani

Mimi sijui dunia inahubiri Democrasia gani. Mohamed Mursi alimshinda mpinzani wake Ahmed Shafiq kwa kura halali kabisa. Wamisri walio wengi walimchagua yeye mgombea wa Muslim brotherhood. Kilichotokea ni kumuondoa madarakani kisa dini. Sawa sio mbali tunakokwenda.
Kwani huyu Al Sisi aliempindua ni Mkristo wa Dhehebu gani Mkuu?kilichomponza yeye na Kikundi Chake cha Muslim Brotherhood ni siasa zao Kali na za ubaguzi bila kusahau mauaji kwa wapinzani wao.
 
Acha kubishana na hiyo mipumbafu haijui chochote mimi nimeiuliza hapo juu jeshi lililompindua morsi ni la dini gan wamekaa kimiya

Swali la kitoto hili, pia acha kuwaambia wenzio wapumbavu. So kuwa na busara kijana hapa sio facebook. jeshi lililompindua ni la kiislamu kwa kushirikiana na mataifa ya kibeberu laanatullah alayhim. Una lingine?
 
Back
Top Bottom