Tanzia: Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohamedi Morsi amefariki dunia akiwa Mahakamani

Inchi za kiarabu hatari sana.....leo umaweza kuwa raisi.... kesho ukachinjwa kama bata ama ukafungwa....narejea kifo cha Gadafi.... yaliyotokea Kwa raisi wa Sudan na raisi wa Misri kabla ya Mohammed Morsi......and the like....
 
Kuna wakati akili yangu inawaza kwamba maskini na watu wa maisha ya kawaida wanaishi kwa amani na furaha kuliko matajiri na watu maarufu.
Huko mbali na ukweli. Unajua kuna kitu watu hatujui... fedha hazileti furaha. Na hata umaarufu au cheo havileti furaha. Mimi naona mtu ukiwa na maisha ya kuweza wewe na familia kumudu kula na kunywa vizuri, kulala sehemu nzuri, matibabu i.e. kipato cha kutosha na uhakika ni maisha bora kabisa.
 
Mimi sijui dunia inahubiri Democrasia gani. Mohamed Mursi alimshinda mpinzani wake Ahmed Shafiq kwa kura halali kabisa. Wamisri walio wengi walimchagua yeye mgombea wa Muslim brotherhood. Kilichotokea ni kumuondoa madarakani kisa dini. Sawa sio mbali tunakokwenda.
 
Back
Top Bottom