Tatizo wafanyakazi wengi wa Tanzanite One ni wezi wakubwa,, Bora ife tu huku mtaani tuheshimiane
Ngongo Ungewataja hao wazawa walio uziwa kampuni hiyo...
Tanzanite One ilikuwa ni zamani, mimi mwenyewe niliifaidi sana. Sasa hivi imrjaa umbea, majungu, fitina kibao. Walianza kuwafitini viongozi wazungu punde tu serikali ilipoingiza share zake pale. Uswahili ukashamiri mpaka wazungu wa watu wakaanza kunyimwa kuendelea na kazi, isitoshe wakaanza kuwafuatilia baadhi ya wafanyakazi kwa kigezo eti ni wezi, toka waondolewe imekuwa kama gundu yani, hakuna kipya wala chochote cha maana. Wale waliofukuzwa mpaka leo wapo fiti mtaani kuliko waliobaki na majungu yao.Hussein n faisal ni vibaraka 2 hawajanunua chochote wanatumiwa n prince......toka wamechukua mgodi huo kila m2 anatimu yke ya kupiga bomu n nguzo instead ya kusukuma shaft yani faisal anawatu wake hivyohivyo hussein ana kundi lake.
Fununu wanafanya hivyo kupiga hela ili mwezi wa 11 wasepe hussein kajaza warangi tupu plus wezi wa mawe waliokubu mererani
Mkuu americana vp mzee D,na Rutta wapo?maana wale ndo watendaji wakuu,hata kupelekea Tanzanite one ifahamike kwa uzalishaji mkubwa.kama waliondolewa kwa majungu,basi ndo mana hata kampuni imeyumba kiutendaji pia.
Hussein n faisal ni vibaraka 2 hawajanunua chochote wanatumiwa n prince......toka wamechukua mgodi huo kila m2 anatimu yke ya kupiga bomu n nguzo instead ya kusukuma shaft yani faisal anawatu wake hivyohivyo hussein ana kundi lake.
Fununu wanafanya hivyo kupiga hela ili mwezi wa 11 wasepe hussein kajaza warangi tupu plus wezi wa mawe waliokubu mererani
Tanzanite One ilikuwa ni zamani, mimi mwenyewe niliifaidi sana. Sasa hivi imrjaa umbea, majungu, fitina kibao. Walianza kuwafitini viongozi wazungu punde tu serikali ilipoingiza share zake pale. Uswahili ukashamiri mpaka wazungu wa watu wakaanza kunyimwa kuendelea na kazi, isitoshe wakaanza kuwafuatilia baadhi ya wafanyakazi kwa kigezo eti ni wezi, toka waondolewe imekuwa kama gundu yani, hakuna kipya wala chochote cha maana. Wale waliofukuzwa mpaka leo wapo fiti mtaani kuliko waliobaki na majungu yao.
Mkuu kwa hiyo WARANGI ndio wamesababisha mgodi ushindwe kujiendesha? UKABILA si mzuri kaka.
Mkuu hatuwasemi kwa ubaya ila ndio hvyo hussein kachukua warangi wenzie kibao kajaza pale ili waibe mawe instead y kusukuma shaft......then hao warangi ndio mateam leader hata cheti cha std 7 hawana.
Kuna jamaa anaitwa bob ally ni mpiga bomu maarufu nae mkuu kazi yake ni kupiga bomu n nguzo 2,wana mda mrefu hawajatoa production y maana wakati apolo za kawaida wa2 wanatoa mzigo wa haja
Hussein n faisal ni vibaraka 2 hawajanunua chochote wanatumiwa n prince......toka wamechukua mgodi huo kila m2 anatimu yke ya kupiga bomu n nguzo instead ya kusukuma shaft yani faisal anawatu wake hivyohivyo hussein ana kundi lake.
Fununu wanafanya hivyo kupiga hela ili mwezi wa 11 wasepe hussein kajaza warangi tupu plus wezi wa mawe waliokubu mererani
Hussein gonga n faisal ni madealer wa gemstones hapa atwn....ila juu yao yuko prince we2 cz mkataba haujulikani cnc 2014 production imekua haieleweki mana huo mgodi kwa mwezi unatumia karibia 1bn.....kuanzia salary,zana,chakula,umeme,mafuta etc.
Pia shaft nyingi hazifanyi kazi wameshindwa kuhudumia