Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
Quarter 3....I think u know what ¼ isKenyans’ mobile money deals hit Sh1.7 trillion in Q3
Tujikumbushe kwa majirani zetu hali ikoje, the biggest economy again bitten by ldc[emoji12] [emoji12] [emoji12]
3rd quarter it is...wewe ni mujingaaaa.Kenyans’ mobile money deals hit Sh1.7 trillion in Q3
Tujikumbushe kwa majirani zetu hali ikoje, the biggest economy again bitten by ldc[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hata Tanzania ni hiyo hiyo Q3, imebaki Q4, another humiliating defeat by more than 30% gap[emoji23] [emoji23]3rd quarter it is...wewe ni mujingaaaa.
Naangali ya Tanzania ni Q3, naagalia ya Kenya nayo pia ni Q3. Sasa sijuwi wakenya wanabisha nini. Labda wanategemea Q4 wataibia kutupita lakini sio rahisi na uchaguzi na mgomo wa NASA.Hata Tanzania ni hiyo hiyo Q3, imebaki Q4, another humiliating defeat by more than 30% gap[emoji23] [emoji23]
Wanachanganyikiwa hawaamini jinsi tunavyowapita kila sector, wapo katika severe form of denial, sifa zote na majigambo zinakwisha. Kenya has no muscle to fight Tanzania economically, Kenya economy is very inflammable not stable at all.Naangali ya Tanzania ni Q3, naagalia ya Kenya nayo pia ni Q3. Sasa sijuwi wakenya wanabisha nini. Labda wanatrgema Q4 wataibia kutupita lakini sio rahisi na uchaguzi na mgomo wa NASA.
Wengi hawakutegeme Tanzania kuamka katika uhai wao wa sasa, walijuwa kuna siku Tanzania itaamka lakini maybe when they are all long gone. Lakini Tanzania inaibuka na kusonga mbele right in front of their eyes. Usione hivyo, serikali ya Kenya imechangayikiwa hawajuwi washike wapi, population is growing fast but resources are diminishing.Wanachanganyikiwa hawaamini jinsi tunavyowapita kila sector, wapo katika severe form of denial, sifa zote na majigambo zinakwisha. Kenya has no muscle to fight Tanzania economically, Kenya economy is very inflammable not stable at all.
Quarter 3....I think u know what ¼ is
3rd quarter it is...wewe ni mujingaaaa.
Mmempata kibano mpaka macho yameshindwa kupeleka taarifa sahihi kwenye ubongo hahaha Tanzania itaendelea kuwanyanyasa mpaka mshike adabu sisi ndio kidume hapa masharikiData iko wapi, na usitupe blogs uchwara
Data iko wapi, na usitupe blogs uchwara
Of course you are right umeongea kitu kikubwa "population is growing fast but resources are diminishing" hii hali ndio inawafanya wakenya wawe wadogo kwetu leo na kesho resources muscles hawana kwa namna Tanzania ilivyo barikiwa kwa rasilimali nyingi Kenya hana ubavu wa kujilinganisha na Tanzania kwa namna yoyote ile.Wengi hawakutegeme Tanzania kuamka katika uhai wao wa sasa, walijuwa kuna siku Tanzania itaamka lakini maybe when they are all long gone. Lakini Tanzania inaibuka na kusonga mbele right in front of their eyes. Usione hivyo, serikali ya Kenya imechangayikiwa hawajuwi washike wapi, population is growing fast but resources are diminishing.
Hahaha jamaa hawaamini huu mnyuko tunaowashushia kila idara tunang'ataSiyo vizuri bana. Tanzania inawafanyia vibaya wakenya mpaka huruma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmempata kibano mpaka macho yameshindwa kupeleka taarifa sahihi kwenye ubongo hahaha Tanzania itaendelea kuwanyanyasa mpaka mshike adabu sisi ndio kidume hapa mashariki
Hahaha jamaa hawaamini huu mnyuko tunaowashushia kila idara tunang'ata
Hiyo link ni ya uchwara, nimeenda kwenye report yenyewe ya TCRA na hakuna 22.5billio hapo, hii blog ya geza, he is pulling figures out of his assbrother go to the link above. the news is NOT from uncredited tabloids.
Kenyans’ mobile money deals hit Sh1.7 trillion in Q3
Taratibu tunasogea. Ipo siku watatusikia kwa radio mbao. Kama China na Marekani vileKenyans’ mobile money deals hit Sh1.7 trillion in Q3
Tujikumbushe kwa majirani zetu hali ikoje, the biggest economy again bitten by ldc[emoji12] [emoji12] [emoji12]