Pierenjanka
Member
- Mar 24, 2011
- 9
- 1
Kinachotokea now ccm watu wanadhani chama kinaanguka,siyo kweli!!hayo ni mawazo ya watu ambao wamezoea kukandamizwa,and hawapo used na freely watu kama jamii kujieleza kile wanachoamini ndani ya jamii!!watu wengi bado wanadhani watu kukaa kimya na machungu moyoni huku wakiumizwa ndo siasa bora si kweli! Jamani zile enzi za nyerere,mwinyi and mkapa za kufungwa watu midomo zimepita!enzi za nyerere kutuchagulia rais wa nchi zimepita!tupo kwenye zama mpya za kikwete,kiongozi anayeamini katika demokrasia ya kweli,japokuwa naye anamapungufu yake mengi tu hilo sikatai! Kinachotokea ccm sasa kinakijenga chama hicho katika ulimwengu wa sasa wa kidemokrasia,tatizo watu wamezoea uzamani!hivi uvundo unaotoa harufu ndani huku huuoni au hujui chanzo chake na ule unaouona upi bora?? Nakupongeza kikwete kwa kuwa mwanasiasa mvumilivu sana na mwamini hasa wa demokrasia kimatendo na si kinafiki kama wengineo! Vyama vikubwa vyote vyenye uelekeo watu lazima watofautiane ndani ya chama,na kwa uwazi ikiwezekana hata mbele ya vyombo vya habari waelezee tofauti zao,lakini pamoja na tofauti hizo wanafanya kazi pamoja!siyo kama chadema mtu akionesha yupo tofauti na maamuzi ya chama tu wanamfukuza au kumshusha madaraka,jamani chama cha demokrasia hakifanyi hivyo,huo ni unafiki kujiita chama cha demokrasia! Nenda democrats,labour,republicans,conservatives hivi vyama vipo hadi leo kwa sababu watu wanatofautiana na wanaelezea tofauti zao kwa uwazi na bado wanafanya kazi pamoja,HAWAHAMI CHAMA!!tulishuhudia uchaguzi wa labour jinsi Ed na kaka yake David miliband walivyokabana koo na kutofautiana katika mambo mengi,lakini hadi leo wapo chama kimoja,wanafanya kazi pamoja ya kukijenga chama chao!INGEKUWA TANZANIA WATU WENGI WANGEMSHAURI DAVID AAME CHAMA! Jamani amkeni!kama ccm na udhaifu wao wote imeamka na kuruhusu watu kutofautiana wazi wazi kama jamii,wakijua ni jambo lisilozuilika kwa sasa,kwa nini vyama vingine vinashindwa?ccm hakuna mungu kwa sasa,mungu wao amekufa!!but tlp MUNGU wao ni mrema,chadema wana MIUNGU wawili slaa na mbowe,hata mungu real hapendi kuwa na miungu wawili hiyo ni bad zaidi maana wakikutana!!!cuf MUNGU wao ni ahmad!udp cheyo......