Tanzanians have to learn something from Syria

Mungu awasaidie wote duniani wanaopata madhila haya.
Huyo mtoto hakustahili kuwa na maisha hayo ila tamaa za watu ndio zinawafikisha hapo.
Utawala ukiwa wa kibabe nchi haitasonga mbele kwa vita hata siku moja bali suluhu na kuamua kuishi in harmony
Utawala wa kibabe mwisho wake ni mbaya sana kwani hata Assad leo hawezi hata kwenda kuangalia watu wanavyoangamia kwa mabomu, what's the point to be a leader
Mungu awasaidie wote walio kwenye utawala dhalimu
Yemen leo hapakaliki Iraq ndio usiseme Sudan bado taaban
Somalia
Yaani kila sehemu ni taabu tupu
Tatizo la vita kama hivi huwa vinaanza taratibu na huwa havina mwisho kwani vikundi vinajitokeza kila siku kwa sababu ya dhiki na ukosefu wa mahitaji ya kila siku.
Mwanzo walitegemea yataisha haraka lakini tumbo likisikia njaa wanafanya kila kitu to stay alive
Vita nimeziona live bora usikie tu.
Watu wameamua baada ya udhalimu lakini imekuwa ngumu kuisha.
 
Madhara ya madikteta na wasiofuata taratibu kumtoa
 
Lakin Bora tutumie njia sahihi

Njia sahihi ni box la kura, sasa unapoona box la kura linaondolewa kituoni kibabe, kisha linarudishwa kituoni baada ya kura kujazwa ili chama cha rais kishinde, hapo hamna jinsi zaidi ya maandamano ya amani kupeleka ujumbe kwamba mambo hayaendi sawa.
 
Mungu akusamehe bure usifananishe matatizo ya watu iwe chanzo cha kuficha udhalimu wako
 
Njia sahihi ni box la kura, sasa unapoona box la kura linaondolewa kituoni kibabe, kisha linarudishwa kituoni baada ya kura kujazwa ili chama cha rais kishinde, hapo hamna jinsi zaidi ya maandamano ya amani kupeleka ujumbe kwamba mambo hayaendi sawa.
Alafu polisi wanawasaidia kuhesabu kura
 
Jeshi letu la ulinzi linafanya kazi kubwa sana, hasa ya kuwatokomeza kabisa yale magaidi yaliyokua yanua viongozi wa ccm wilayani rifiji, na polisi wetu. Hongeri sana.
Tupieni macho pia kwa kimambi na timu take.
 
Ulieandika huuu Uzi ni abunuasi fatilia chanzo wlianza na peace rally serikali ikaamuru wauwawe wakauawawa watu laki tatu na usheee unadhani hio damu yote kutatokea Amani wapi
Watu humu si mihemko tu,hata hawajui sources za reliable information.Coward tu
 
Hatuambiwi wala hatushauriki! Mkituambia ndio mmeharibu kabisa!!!!
Tanzania sio Syria kila mmoja ana demokrasia yake.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Eeee Tanzania yetu!!! Mtoa mada kasahau kuweka picha za mauaji ya Rwanda na wakimbizi wa Zanzibar na Congo. Pia amemsahau Akwilina R.I.P.
Tutazame tumejikwaa wapi kabla ya kuangalia tunakoangukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…