MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,512
- 53,477
Hawa wakenya wajinga sana, wanajiona wapo juu kwenye kila kitu. hata vingine vya kipuuzi. Tutarekebishana nao hadi wakome, hapa sio nairobi
Tuna sababu za kujisifu, tumewashinda kwa kila kitu
- East Africa Military Games, Kenya ndio top
More Sports: Kenya Tops East Africa Military Games
- Top university in East Africa - UON namba tisa
Africa | Ranking Web of Universities
- Economy might in East Africa - hili halina mjadala maana GDP yenu inaonja vumbi yetu
- Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! Kenyans wapo pia
Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! | Africa Top Success
Yaani hata sijaanza, naweza jaza huu uzi wote. Hivyo usihangaike kupimana misuli na Wakenya. Nchi yetu ndogo, na nusu yake ni kame lakini tunajituma kama sisimizi. Hata Bongo utatukuta tunapiga deals. Wapo kaka zenu Wabongo wasio wavivu na hawana chuki na Wakenya, wanapiga biashara na sisi na hutawakuta Uswazi Mazense huko kwako, bali wapo wanaishi kama kule Mikocheni. Unapomtembelea kikao, unamwona anacho kikao na Mkenya, halafu baadaye anaingia Mchina, anafuata Mhindi.... jamaa hawana ubaguzi, bora umpe project plan inayo make sense.