Tanzanians aisee

Na hyo ya tabia ya waknya kuitana nyanya ipo siku tutaanza kuwaungia kiti moto
 
Japo umetuambia ukweli,ila kidogo umetumia lugha ya kuudhi,kukera,Siku nyingine ukiwa na ujumbe mzuri kama huu ufikishe kwa adabu
 
Nimeamini hujui kiswahili na funga bakuli usiropoke.
Dhana na zana hiyo ni misamiati miwili tofauti.
Dhana ni fikra juu ya kitu flani.
Zana ni kifaa kitumiwacho ktk shughuli mbalimbali mfano zana za vita ama zana za ujenzi.
Hujuii KISWAHILI KABBISA WE KAKAE USOME
 
SIKU NYINGINE UWE UNAKUNYWA CHAI KABLA YA KUROPOKA KUKU WEWEE.
MCHEZO WA NDONDI USITHUBUTU MAANA BONGO TUNAKANDA .EMBU NILETEENI BOXING CHAMPION WENU YEYOTE NIMLINGANISHE NA FRANCIS CHEKA TUONE.
THEN WAJITAPA MWAJUA KISWAHILI KUJA MWASEMA KUNJANGA.
DUH NAKUPENDA ETI NAKUPENDANGA BORA SISI TWAKOSEA KATK MATAMSHI ILA NYIE MWABADILISHA MSAMIATI KABISA.
 
Mleta uzi ni nyang'au tu anafikiria Meddy Kagere ni mtanzania
 
MKUU,

Ni "AFRIKA NZIMA"
Sio "AFRIKA MZIMA",

RUDI KAJIFUNZE NGELI ZA NOMINO KISHA UREJEE.
 
Mbona hata nyie wakenya mnasoma kiingereza toka chekechea mpaka chuo kikuu lakini bado hamuwezi hata pronunciation ya maneno ya kiingereza.
Eti halafu kiingereza kwenu mnaita kithungu,girl mnaita gal,kiufupi mirungi,bange na changaa zimewaharibu sana, mnachokiweza ni siasa za kikabila na kuuana soon tutasikia ruto kapata ajali ya kutengenezwa ya helicopter
 
Mkuu hicho Kiswahili unachokijua wewe hongera sana, ila jaribu kujirekebisha na wewe.

Kiswahi--- Kiswahili.
Wasenzi---Washenzi.
Mzima---Nzima.

Kua makini unaweza ukawa unatukana mtu kumbe katika kutamka ukajitukana mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…