kati ya watu ambao ni ma racist kwa sasa ni hao watu wa far east..yaani india, china, japan, malaysia etc....ni mabaguzi kuliko hata wazungu....sasa kwa wanaume wanaoiba wasichana wao wa kule ambao wengu huwapenda waafrika kwasababu ya myth kwamba wanayo maumbile makubwa...hucheleweshwi ukisoma kule. kuweni macho.