Tanzanian Soccer League is Fixed

Tanzanian Soccer League is Fixed

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Posts
9,539
Reaction score
5,923
_70995516_hall_.jpg

[h=1]Hall leaves Azam and alleges Tanzanian league is fixed[/h]England-born coach Stuart John Hall has parted company with Azam FC and alleged the Tanzanian league is rigged in favour of the country's two top teams.
"The Tanzanian football is organized in favour of two teams, Simba and Yanga," Hall told BBC Sport.
"Fixtures, refereeing, administration are all rigged to favour them, that's why Azam has failed to topple them."
The Tanzania Football Federation (TFF) officials were not readily available to comment on Hall's allegations. However, there have been instances in the past where match officials were penalised for their conduct in matches involving Simba and Yanga.

By Emmanuel MugaBBC News, Dar es Salaam
 
Huyo Hall hana jipya, msimu huu kawafunga Simba na Yanga na juzi katolewa jasho na MCC mchana kweupe pee, kila mtu kaona, sasa huo upendeleo kwa Simba na Yanga uko wapi? Pamoja na kuvuna pointi 6 toka kwa Simba na Yanga bado timu yake hajaiacha kileleni, kama angefanyiwa fitina akafungwa na watani angekuwa na point 21 tu.
 
He. Got point dude,hajakosea simba na yanga wanadumaza soccer LA Tz, hadi JK aliwahi kusema they are so primitive
 
Ama kweli dunia imekwisha! Hata Wazungu nao wameanza kuongea utumbo! How could you influence championship winners without influencing the runners up position, which Azam under him has claimed for two years in a row? I would agree with him if he would include Azam in the fixing allegations. Sorry to say this, but there is no known Azam achievement in the league without a controversial Azam win behind. Remember when Cannavaro and others were banned by TFF after confronting the referee in the Azam match at the National Stadium? What does he say of this? Remember the Zanzibar referee who was banned by ZFA after favouring Azam beyond reasonable doubt in their final Mapinduzi Cup match against Kenya Breweries, and a replica of the same against Yanga a year earlier? Know why Yanga are not into Mapinduzi cup any more? Because of biased refereeing not in favour of Zanzibar Teams, but Azam. Anasema nini huyu?
 
Ameongea upuuzi plus.
 
Huyo Hall hana jipya, msimu huu kawafunga Simba na Yanga na juzi katolewa jasho na MCC mchana kweupe pee, kila mtu kaona, sasa huo upendeleo kwa Simba na Yanga uko wapi? Pamoja na kuvuna pointi 6 toka kwa Simba na Yanga bado timu yake hajaiacha kileleni, kama angefanyiwa fitina akafungwa na watani angekuwa na point 21 tu.

Inawezekana yuko sahihi, amesema ratiba, mpangilio wa marefa huwa inazibeba timu mbili.
Refa akiboronga mechi inayohusisha moja ya timu hizi anachukuliwa hatua, timu zikisafiri kwenda mikoani wanahakikisha zimemaliza mechi zao zote na timu za huko, tofauti na timu zingine ambazo Jumamosi inaweza kuwa na game Mbeya halafu Jumatano ikatakiwa kusafiri hadi Kagera.
 
Mkuu ratiba ya mwaka huu imeipendelea zaidi Azam FC, ameshacheza ugenini na mtibwa, rihno, Orjoro, kagera, prison na coastal union. Kwaiyo round ana mechi 2 tu za mikoani Tanga na Mgambo na mbeya na Mbeya city, tayari wana ADVANTAGE ya kucheza mechi nyingi nyumbani wakati YANGA na SIMBA wana mechi 5 za mikoani round ya 2.
kwa mwaka huu nadhani ligi iko Fair hadi apa ilipofikia, kila mtu amestahili apo alipo kwenye msimamo.
 
Mi naamini upo upangaji wa matokeo wa namna fulani.Mwaka jana Simba ilianza vizuri sana na yanga vibaya sana hadi round ya kwanza inakaribia kuisha.Manji akawaita wachezaji na viongozi akakaa nao.Baadae tukadikia msemo sasa tunaanza ligi.Ghafla kibao kikabadilika Yanga ikaanza kupaa Simba ikadorora kwelikweli.Mwaka huu hali hiyo imejirudia sawia.Je hiyo ni coincidence tu?.Mi sishawishiki kuamini hivyo hasa nikikumbuka mambo ya akina Gulamali na Dewji enzi hizo.Naomba PCCB wafanyie kazi tuhuma hizi za Hall wanaweza gundua zaidi ya alichotuhumu.Wapo kwa ajili hiyo.Huwezi kumpuuza professional coach kirahisi hivyo.
 
Mimi nawapa changamoto wasomi, waandishi na watafiti wa michezo, hasa mpira wa miguu hapa nchini. Wajaribu kubainisha mchango wa Simba na Yanga katika maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. Maana ni rahisi kukurupuka tu na kusema kwamba hizi timu zinaua mpira wetu. Lakini kuna upande wa pili wa sarafu pia, ambazo ndio timu zilizofungua macho ya wengi kwenye maswala ya mpira wa miguu nchini: za kwanza kuwa na majengo yao ya klabu hapa nchini, za kwanza kuanzisha upinzani wa kweli wa mpira hapa nchini, za kwanza kuleta makocha kutoka nje, za kwanza kuwa na idadi kubwa ya washabiki, ndio pekee ambazo zimedumu tangu kuanzishwa hadi leo, ndio kwa pamoja zinaifanya Tanzania iwe imechukua kombe la CECAFA mara nyingi zaidi, ndio zilizofikia rekodi bora zaidi yamashndano ya CAF (pamoa na Gor Mahia iliyofikia faiai ya Kobgla Washindi) kwenye ukanda huu, ndio pekee zilizowahi kutoa wachezaji wa ukanda huu kwenye timu ya Afrika nzma, ndio pekee zenye washabiki Afrika ya Mashariki yote, za kwanza kwenda nje ya nchi kwa ziara za mafunzo, ndio pekee za zama zake zilizobaki hai hadi leo, ndio pekee nchini ambazo hazijashuka daraja tangu lianzishwe,.......... Timu zenye historia hiyo endelevu haziwezi kuwa kikwazo cha mpira. Tatizo liko kwenye ukosefu wa timu nyengine kama hizo hapa nchini. Tulijaribu Majmaji, lakni ilikuwa ni timu ya mkoa, si ya wanachama. Tumejaribu Mbeya City hivi sasa, lakni ni ya Halmashauri si ya wanachama. Kuliuwako za mashirika, ziko za majeshi, za matajiri binafsi, zote zimekufa. Ndio tuseme nguvu za wanachama wa Simba na Yanga ni zaidi ya nguvu za majeshi, matajiri na serikaii? Hapana. Ni ushahidi wa usahihi wa mfumo wa timu za wanachama. Huu uzuri wa Mbeya City na Majimaji, ndio uzuri asilia wa Simba na Yanga. Tatizo ni uendelevu wa uzuri huu. Simba n Yanga wameweza, licha ya kasoro na kero zao lukuki. Chagamoto ni kuondoa changamto hizo kwa upande mmoja, na uendeevu wa akina MCC kwa upande mwengine. Sio kuzilaani Simba na Yanga. Au ndio nabii hakbaliki nyumbai kwao?
 
Mkuu ratiba ya mwaka huu imeipendelea zaidi Azam FC, ameshacheza ugenini na mtibwa, rihno, Orjoro, kagera, prison na coastal union. Kwaiyo round ana mechi 2 tu za mikoani Tanga na Mgambo na mbeya na Mbeya city, tayari wana ADVANTAGE ya kucheza mechi nyingi nyumbani wakati YANGA na SIMBA wana mechi 5 za mikoani round ya 2.
kwa mwaka huu nadhani ligi iko Fair hadi apa ilipofikia, kila mtu amestahili apo alipo kwenye msimamo.

Sawa kabisa mkuu...........,mwacheni arudi kwao akauze matikiti
 
Mi naamini upo upangaji wa matokeo wa namna fulani.Mwaka jana Simba ilianza vizuri sana na yanga vibaya sana hadi round ya kwanza inakaribia kuisha.Manji akawaita wachezaji na viongozi akakaa nao.Baadae tukadikia msemo sasa tunaanza ligi.Ghafla kibao kikabadilika Yanga ikaanza kupaa Simba ikadorora kwelikweli.Mwaka huu hali hiyo imejirudia sawia.Je hiyo ni coincidence tu?.Mi sishawishiki kuamini hivyo hasa nikikumbuka mambo ya akina Gulamali na Dewji enzi hizo.Naomba PCCB wafanyie kazi tuhuma hizi za Hall wanaweza gundua zaidi ya alichotuhumu.Wapo kwa ajili hiyo.Huwezi kumpuuza professional coach kirahisi hivyo.

Timu hizo za waarabu zikianza kuachwa znadai Yanga inapanga matokeo.
 
Inawezekana yuko sahihi, amesema ratiba, mpangilio wa marefa huwa inazibeba timu mbili.
Refa akiboronga mechi inayohusisha moja ya timu hizi anachukuliwa hatua, timu zikisafiri kwenda mikoani wanahakikisha zimemaliza mechi zao zote na timu za huko, tofauti na timu zingine ambazo Jumamosi inaweza kuwa na game Mbeya halafu Jumatano ikatakiwa kusafiri hadi Kagera.
Hapo utakuwa unatia maneno yako mdomoni kwa Hall. Maneno sahihi aliyotumia ni 'rigged in favour of' kwa maana ya kuwa 'yamechakachuliwa/yamepangwa kwa manufaa ya' (Simba na Yanga). Ndio maana likatumika neno 'fixed' kwenye kichwa cha habari, kwa maana ya 'kupandikizwa/kupangwa'. Lakini matokeo hayapangwi kwa kuipangia timu ratiba. Yanapangwa kwa kuiwekea mazingira ya kushinda timu inayokusudiwa, kwenye uwanja wowote itaochezea mechi hiyo. Vinginevyo ni kusema Yanga haiwezi kupanga matokeo na Coastal mechi yao ikichezwa Tanga. Hapana. Hall alitumia mifano ya ratiba na marefa kusisitizia tu hoja yake, bali alikisudia upangaji wa moja kwa moja wa matokeo. Nilidhani ungesema pia kwamba refa anapolalamikiwa dhidi ya mechi ya Yanga na Simba, huwa kweli amependelea, anapolalamikiwa na timu hizo dhidi ya Azam huwa yuko sahihi. To be fair, tutilie mashaka kila uamuzi unaolalamikiwa, uwe wa Azam, Yanga, Simba au timu yoyote nyengine.
 
Back
Top Bottom