Nani mkuu?Boss mmoja kapelekwa kenya.. akafia uko uko
This image below is the tracking of AMREF Health Africa airplanes airlifting prominent Tanzanians to Kenya to save their lives.
View attachment 1705056
Nimeimba sana huu wimboTumeuona mkono wake katika mapambano ya covid Tanzania.
Sisi tuliojua kuomba kuliko watawa wa Vatican na wanazuoni wa Iran. Mungu si mnafiki kabisa.Nimeimba sana huu wimbo
Tumeuona Mkono Wako Bwana : Kwaya ya Zabron (mbarikiwe
Mungu wetu wa kuogopewa sana....
Nasubiria jibu lakoHivi yule wa juu kabisa atakubali kwenda kutibiwa kwa mabeberu?