Tanzanian Officials are Airlifted to Kenya for treatment

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,519
2,000
Hata uite ukoo wote sikuachi bladi dayaspora wa Buza, jifunze adabu...hii tovuti ya watu, inamilikiwa sio mali ya MATAGA au ukoo wenu....leo umenasa kwenye chambo hehehehe

Huwezi kuniacha maana mimi sijakuoa, nina mke wangu, wewe siyo mke wangu. Nenda kwa mmeo.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,483
2,000
Ndiyo watanzania wajue kuchanganya akili zao. Hata huko Mloganzila ni wachache mno. Wengi wanaambiwa wajifukize. Utasikia ''hata covid inatibu, madaktari ndiyo wanayoitumia''. Wao ikiwapata hawajifukizi na wanaenda hospital nzuri.
Duh !
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,065
2,000
Mwanamke bado unang'ang'ana na mambo ya ukweni. Hayakuhusu. Nenda kwa mmeo ndiye anayekuhusu. Mimi siyo mmeo.

Hehehe umeganda kwenye tusi moja la "mwanamke", jiongeze mburula la Buza, lazima nikukomeshe kung'ang'ania mali za watu kama malaya... Hii tovuti ina wenyewe.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,065
2,000
Huwezi kuniacha maana mimi sijakuoa, nina mke wangu, wewe siyo mke wangu. Nenda kwa mmeo.

Leo adabu utaipata... sio enzi zile za ujamaa ilikua kila cha watu unaita cha kwako, vilaza kama nyie mjizoeshe kujituma.....utakoma tu hehehe
 
toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
3,246
2,000
Kwani ulaya na wengineo wanaokufa ovyo kwa covid wanaongozwa na serikali ya ccm?bona wengine mnatumia matako kufikiria!!??

hapana ila kuna recognition hapa kwetu mtu kusema tu corona ni tatizo , ivi nyie jamaa mbona wapumbavu ivi ? yan mnaona ni sawa tu kusema hakuna korona na watu wanakufa na korona watu wakivaa barakoa wanaambiwa wavue watakamatwa mbona haitaaji phd kujua hii serikali yakiboya ?
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,519
2,000
Hehehe umeganda kwenye tusi moja la "mwanamke", jiongeze mburula la Buza, lazima nikukomeshe kung'ang'ania mali za watu kama malaya... Hii tovuti ina wenyewe.

Najua siwezi kubishana na wanawake, lakini nadhani ujumbe umefika, ambao ni Koma kabisa kujadili kwenye jukwaa letu la SIASA. Ukirudia talaka inakuhusu.
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,473
2,000
Najua siwezi kubishana na wanawake, lakini nadhani ujumbe umefika, ambao ni Koma kabisa kujadili kwenye jukwaa letu la SIASA. Ukirudia talaka inakuhusu.
Hahaa hawa wanaipenda sana bongo japo wao hawapendwi jamaa anashoboka tokea miaka hiooo
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,065
2,000
Najua siwezi kubishana na wanawake, lakini nadhani ujumbe umefika, ambao ni Koma kabisa kujadili kwenye jukwaa letu la SIASA. Ukirudia talaka inakuhusu.

Lazima kipodo upokee changu la Buza aka dayaspora....hehehe kama nakuona ulivyovimba uso na mishipa kukutoka.... hadi uache kuparamia vya watu, jitume uwe na vya kwako kicheche wewe.
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,473
2,000
Lazima kipodo upokee changu la Buza aka dayaspora....hehehe kama nakuona ulivyovimba uso na mishipa kukutoka.... hadi uache kuparamia vya watu, jitume uwe na vya kwako kicheche wewe.
Jitume muikuze JamiiForums.com sio kushinda kwa majirani kama yatima
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,596
2,000
Halafu unaambiwa ICU zimejaa kumbe zimefurika wageni ilhali wazawa tunajifia, hii sasa imekua biashara maana akija bwenyenye mwenye hela yake kutokea Dar, atapewa mashini bora ashushe hela za kutosha, huku wengine tukiambiwa zimejaa.
Utakuta mpaka wanakuja kutokea Burundi maana na huko pia huwa wanajikweza kwamba hawana corona.
Kenya nawaaminia React! Demonstrate! Cry out! let these idiots come back
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,088
2,000
Hadi sasa safu za juu kabisa bara na visiwani zimetikiswa. Acha tuone ikiwa hili nalo litaacha ukimya bila tamko la tahadhari madhubuti kuchukuliwa.
Inaweza kusaidia kuwaponya wasiokuwa na sauti,wasiosikika sasa watasikilizwa.Vifo vinatuumbua baada ya kuficha ficha maradhi.Tunalipa gharama kubwa kupoteza Ndugu zetu.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,519
2,000
Lazima kipodo upokee changu la Buza aka dayaspora....hehehe kama nakuona ulivyovimba uso na mishipa kukutoka.... hadi uache kuparamia vya watu, jitume uwe na vya kwako kicheche wewe.

Mwanamke sikiliza, unajua maana ya kuparamia au unataja tu?? Hapa uko Jamii forum ya waTanzania kwenye jukwaa dogo la "SIASA ZA TANZANIA". Wala hatuko kwenye jukwaa la mashada ambalo linafahamika kwa ukabila duniani.
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,473
2,000
Inaweza kusaidia kuwaponya wasiokuwa na sauti,wasiosikika sasa watasikilizwa.Vifo vinatuumbua baada ya kuficha ficha maradhi.Tunalipa gharama kubwa kupoteza Ndugu zetu.
Kamanda kasema tusitishaanee...........kifo tu kwani kuna jipya
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,088
2,000
Kamanda kasema tusitishaanee...........kifo tu kwani kuna jipya
Wewe unapenda kifo?Yeye mwenyewe anakiogopa kifo kama nami ninavyokiogopa.Hatuwezi kuhamasishana kudharau tiba na kinga (Chanjo) za kisayansi kisa eti Wazungu wanataka kutudhibiti uzazi na kutuua.
Mficha maradhi...
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,473
2,000
Wewe unapenda kifo?Yeye mwenyewe anakiogopa kifo kama nami ninavyokiogopa.Hatuwezi kuhamasishana kudharau tiba na kinga (Chanjo) za kisayansi kisa eti Wazungu wanataka kutudhibiti uzazi na kutuua.
Mficha maradhi...
Kama unakiogopa hiko kifo basi utachukua tahadhari mapema........ila kama unataka hadi ugonjwa ufanyiwe promosheni subiri tu
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,711
2,000
Hivi na wewe umetokea wapi??
Sikiliza wee mwanamke, usiingilie yasiyo kuhusu.
Pia hatutaki kuona mnaanza kujipenyeza penyeza kwenye jukwaa letu la siasa. Ukome tena.
Toka Kenyan news section na wewe pia, eliakeem hauna ushawishi ama mamlaka humu, wewe ni mnyonge tu kama wengine, with strong inferiority complex, kumbe ulijibu kifalafala ulikosa facts!, ndio naona this stupid response, umeshuka bei sana , "...ulianza na roho unamalizia kwa mwili.."
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom