Tanzanian media/serikali cartoon, kenya

Kwanza ile sheria ya mitandao itaanza kufanya kazi September 1, hawa ndugu zetu wapo pabaya aisei. Yaani bana tuendelee kukomaa na nchi yetu, tulimwaga damu hadi uhuru wetu ukapatikana, tusitamani kuelekea wanakokwenda Wabongo.

Maana hawa wengi tunaowaona hapa JF watalazimika kutoweka kwasababu mojawapo wa vifungu vya hiyo sheria ni kwamba, lazima kila mtu atumie majina yake kamili hapa JF na athibitishwe na uongozi wa JF. Kuna wale nafahamu yaani bora wafe lakini hawawezi kubali kufahamika.

Hizi hapa athari za hiyo sheria kwa mujibu wa mbunge wao mheshimiwa Kafulila.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…