Tanzanian Government Accuses Acacia of Mining Gold Illegally

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,124
Tanzanian Government Accuses Acacia of Mining Gold Illegally
by
Omar Mohammed
More stories by Omar Mohammed
,
Helen Nyambura-Mwaura
@HelenNyamburaMore stories by Helen Nyambura-Mwaura
, and
Thomas Biesheuvel
@tbiesheuvelMore stories by Thomas Biesheuvel
‎June‎ ‎12‎, ‎2017‎ ‎4‎:‎05‎ ‎AM ‎June‎ ‎12‎, ‎2017‎ ‎5‎:‎01‎ ‎AM
  • Acacia dispute deepens in country where it mines all its gold
  • Barrick unit has said it will have to close mine in country
Tanzania’s government accused Acacia Mining Plc of operating illegally in the East African country and said mining companies have been evading taxes. Acacia’s shares slumped.

“The committee has established that Acacia Mining Plc has been conducting its mining business here in Tanzania contrary to the law,” Nehemiah Osoro, chairman of a committee ordered by President John Magufuli to conduct an audit of mineral exports over the past 19 years, said Monday in the commercial capital, Dar es Salaam.

Acacia’s shares dropped as much as 14 percent and were 5.8 percent lower at 282.60 pence by 9:34 a.m. in London. The company, which is majority owned by Barrick Gold Corp., said in an earlier statement that it has “fully cooperated” with the audit committee’s work.

1000x-1.png

Acacia also said that it will make another statement “as soon as practical” following Monday’s presentation by the government.

The accusation is the latest sign of deteriorating relations between Acacia and the country where it mines all its gold. Last month, a Tanzanian presidential committee investigating the export of gold and copper concentrates, a semi-processed form of ore, said that Acacia hasn’t fully declared all the minerals contained in its concentrate. Acacia said it fully declares everything of commercial value that it produces and pays all appropriate royalties and taxes.

Acacia slid almost 40 percent in two days after the first committee report last month. The firm has been in dispute with the government since the country issued a surprise ban on concentrate exports in March. The restriction is costing Acacia about $1 million a day in sales and the company has said it may be forced to shutter its flagship Bulyanhulu mine unless a solution is found.

Mine Concern
“If no resolution is found over the summer we would expect Bulyanhulu to be placed on care and maintenance,” Numis Securities Ltd. said in a note to investors Monday.

Before the concentrate ban was introduced, Acacia had been making progress in turning around the troubled Bulyanhulu operation, with output at the mine increasing 6 percent in 2016 to the highest in a decade. Concentrates accounted for 45 percent of Bulyanhulu’s revenue last year and about 30 percent of the company’s total sales.

Magufuli is overhauling Tanzania’s mining industry as he seeks to generate more revenue to help finance projects including the building of a new port, railway and oil pipeline. In March, he banned mineral exports and ordered an audit to identify loopholes that he said result in income losses. Last month, the president fired Mines Minister Sospeter Muhongo after a separate probe found mineral exports had been understated.
 
Kwa upande wangu hili la Acacia to oparate illegally nadhani it's an oversight, ilipokuja ilikuja kama Barrick Gold naamini ilisajiliwa, kisha Berrick wakaunda kampuni tanzu ya ABG na kuikabidhi migodi yote ya Africa. Acacia yeye ni operator tuu mwenye 29% stakes lakini Barrick kupitia ABG bado ana own 71%.

Kama Barrick walikuwa registered na wana oparate legally, then Acacia ni legal

P.
 
brother kwenye hili saga mimi naona kama kunavita fulani ya kimaslahi kama sio kisasi inapiganwa hapa ndani ya hizi tawala za ccm hata kwenye ripoti ya leo unaona dhahiri shahiri kunamahala tumeamua kuskip ukweli,kama ukweli tunataka kunyooshana tunyooshane kwa uwazi na haki tujuane..!! out of that ,tutaendelea kuongea yaleyale kwa kuchonganjia mpya kupisha mti unao ongea na kutoa damu
 
naamini unapobadilisha jina, umiliki au hata address ni lazima kufanya mabadiliko hayo Brela. Hata unapobadili hisa lazima uende Brela useme utakuwa unafanya biashara kwa jina lipi. Mfano Tigo sio kampuni ila MIC Tanzania ndio kampuni hivyo ikiuzwa mic kwa kampuni ingine lazima wasajili uuzwaji huo maana share holding structure and names utakuwa umebadilika na hapo ndio watadeclare je watatumia jina lile lile ama wanabadili?

Je ACACIA wamefanya hayo.
 
Kwa upande wangu hili la Acacia to oparate illegally nadhani it's an oversight, ilipokuja ilikuja kama Barrick Gold naamini ilisajiliwa, kisha Berrick wakaunda kampuni tanzu ya ABG na kuikabidhi migodi yote ya Africa. Acacia yeye ni operator tuu mwenye 29% stakes lakini Barrick kupitia ABG bado ana own 71%.

Kama Barrick walikuwa registered na wana oparate legally, then Acacia ni legal

P.
Yawezekana ukawa sahihi kwa kauli yako, Lakini usajili bado unaendelea kutia shaka. Hebu angalia hii barua.
 
Attachments

  • DCHLvHHXUAA6N8K.jpg
    DCHLvHHXUAA6N8K.jpg
    38.3 KB · Views: 49
Kwa upande wangu hili la Acacia to oparate illegally nadhani it's an oversight, ilipokuja ilikuja kama Barrick Gold naamini ilisajiliwa, kisha Berrick wakaunda kampuni tanzu ya ABG na kuikabidhi migodi yote ya Africa. Acacia yeye ni operator tuu mwenye 29% stakes lakini Barrick kupitia ABG bado ana own 71%.

Kama Barrick walikuwa registered na wana oparate legally, then Acacia ni legal

P.
Ndugu yangu kwa hiyo tuseme hiyo Kamati ya Raisi iliyokuwa na wataalamu wa masuala ya sheria wameshindwa "kuchenjua" jambo hilo kama ulivyoliweka hapa?
 
Barrick Gold ni kampuni ambayo sehemu kubwa za hisa zake zinamilikiwa na Rais mstaafu wa Marekani George Bush hii kampuni ndio inaongoza kwa kupora madini huko Zaire.
George Bush alifanya ziara nyingi hapa Tanzania kwa ajili ya kulinda maslahi ya Barrick Gold.
Tuliporwa Dhahabu tukapewa viandarua vya mbu.
 
Yawezekana ukawa sahihi kwa kauli yako, Lakini usajili bado unaendelea kutia shaka. Hebu angalia hii barua.
Mkuu Hii barua mbona tarehe hazioani mmh lipo jambo! Mwandishi aliandika amesimama au anakimbia?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndugu yangu kwa hiyo tuseme hiyo Kamati ya Raisi iliyokuwa na wataalamu wa masuala ya sheria wameshindwa "kuchenjua" jambo hilo kama ulivyoliweka hapa?

Kamati imeenda kufanya kazi huku imeshaambiwa kwamba majibu yanatakiwa yawe haya, kilichobaki ilikuwa ni kutafuta justification ya majibu.

Ni kama yale maswali ya hesabu tulikuwa tunafanya shuleni ya "Prove that a+b=c".
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yawezekana ukawa sahihi kwa kauli yako, Lakini usajili bado unaendelea kutia shaka. Hebu angalia hii barua.
Huu ndio uthibitisho kuwa Usajili wa kwanza wa jina la Barrick ulikuwepo na baadae wakabadili jina kuwa ABG ila walipokuwa Acacia hawakubadili jina hadi baada ya kuzuka seke seke ndipo sasa wanashughulikia ubadilishaji jina. Hii issue ni name change tuu na sio Usajili.

Hata Richmond japo ilikuwa kampuni hewa mkataba wake haukuwa mkataba hewa na ndio iliyofanya usajili Brela. Dowans wakabadili tuu jina ila mkataba ndio ule ule. Walipochukua Simbion walibadili tuu jina lakini mkataba ni ule ule
 
Kwa upande wangu hili la Acacia to oparate illegally nadhani it's an oversight, ilipokuja ilikuja kama Barrick Gold naamini ilisajiliwa, kisha Berrick wakaunda kampuni tanzu ya ABG na kuikabidhi migodi yote ya Africa. Acacia yeye ni operator tuu mwenye 29% stakes lakini Barrick kupitia ABG bado ana own 71%.

Kama Barrick walikuwa registered na wana oparate legally, then Acacia ni legal

P.
Umefanikiwa kuona nyaraka za usajili Mkuu Pasco? au unadhani? Itoshe tu kunyamaza kwani hujafanya utafiti. Haya makampuni mengi yamesajiliwa kwenye visiwa,hayashikiki,hayashitakiki....humjui mwenyewe kamwe.
 
'covet emptor' au 'let a buyer be aware'.
Hii ni terminology ambayo muuzaji hana cha kupoteza zaidi ya kujua gharama yake lakini mnunuzi ndiye anatakiwa kuwa makini ili apate value for money maana yeye ndiye kaitolea jasho hiyo pesa yake. Sasa sisi mtu anakupa list price kama kwenye 'terrible teen' kuwa ni shilling 1,000 na wewe unalipa chap chap lakini ungekaa ukabargain ungelipa sh. 400/- tu labda. Sasa hapa unamlaumu aliyepokea pesa!?
 
Barrick Gold ni kampuni ambayo sehemu kubwa za hisa zake zinamilikiwa na Rais mstaafu wa Marekani George Bush hii kampuni ndio inaongoza kwa kupora madini huko Zaire.
George Bush alifanya ziara nyingi hapa Tanzania kwa ajili ya kulinda maslahi ya Barrick Gold.
Tuliporwa Dhahabu tukapewa viandarua vya mbu.
HE! DHAHABU KWA VYANDARUA.
MAUAJI HAYO!!
 
Yawezekana ukawa sahihi kwa kauli yako, Lakini usajili bado unaendelea kutia shaka. Hebu angalia hii barua.

Barua inaandikwa tar 29 May 2016 kujibu hoja ya 4 May 2017?

Hata hivyo, kama madai ya acacia kutokusajiliwa ni ya ukweli, basi tuna matatizo makubwa sana. Na mkuu mwenyewe itabidi awajibike, haihitaji kamati
 
Back
Top Bottom