Tanzanian girl (21-year-old) stripped, assaulted by locals in Bengaluru, India

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714


Days after a 35-year-old woman died in Bengaluru after being run over by a car driven by a Sudanese student, details have emerged of a 21-year-old Tanzanian student, who arrived at the scene of the accident 30 minutes after the incident, allegedly being stripped and assaulted by a mob.

She tried entering a BMTC bus but was pushed out by passengers in the bus. She was refused entry by an auto rickshaw driver as well.

The girl, a second year BBA student of Acharya College, had no connection to the students involved in the accident, reports Deccan Chronicle.

Bosco Kaweesi, the legal adviser of All African Students Union in Bengaluru, said that the Tanzanian girl and the Sudanese man, who was booked for the accident, were not known to each other.

The Tanzanian student was travelling in another car – a Wagon-R – along with four friends and had arrived at the accident spot 30 minutes after the incident. The mob reportedly beat her, stripped her of all clothes and made her parade around naked in the presence of the police. The mob also set ablaze the Wagon-R, with all the students losing their valuable documents, including passports and ATM cards.

A bystander, who tried to help the woman, was also attacked.

"The scared students were forced out of the car and then the car was set ablaze. The driver of the second car identified as Micah S Pundugu was beaten up black and blue by the mob, who then stripped the girl student.

When someone from the crowd offered her a T-Shirt to save her modesty, that man too was beaten up by the mob. She later, with her torn clothes, tried to enter a BMTC bus that had slowed down nearby, but the passengers in the bus pushed her back down onto the road." -Bosco Kaweesi


Tanzanian Girl Stripped, Paraded by Bengaluru Mob After Accident

=====

Later, Bengaluru Police filed FIR against 4 suspects and arrested them.

According to a Deccan Chronicle report, the girl who arrived at the spot with four others almost half an hour after the incident, was forcefully dragged out and assaulted.

The Tanzanian girl is a second year BBA student and has no relation with the man involved in the incident. The girl also tried to board a bus and escape from the location, however, the passengers threw her back into the mob.
 
Niliwahi kuishi India kwa miaka mitatu na kwa uzoefu niloupata kule sishangazwi na tukio hili. Uzoefu wangu ulinifanya kuamini kuwa wahindi (baadhi yao) ni wabaguzi na pale ambapo mwenzao anahusika siku zote watakuwa upande wake na hii ni pamoja na kulipiza kisasi.

Natumaini polisi watafanya kazi yao. Tumuombe Mungu amsaidie huyo binti kukabiliana vema na athari za udhalilishaji huo wa kimwili na kisaikologia.
 
Siwezi shangaa,honor killing kwao kitu cha kawaida simbuso ubaguzi?
 
Nddugu Very sad !1 Lakini hutokea sehemu nyingi penye vurugu na Mshikemshike"hata hapa wenye boda boda ukiwagonga utavamiwa"!1
@Bararosa
@barbadosa Ndugu acha kuppandikiza chuki ... kwa kuwavisha Tuhuma na dhambi wasie husika!!
@Barabrosa Fujo lifanyike umbali wa maili 5000 wewe unalaumu jirani wako nchini..???!!!
Just be fair !1 Ustaarabu ni kuomba radhi....
kila la heri mkuu
 
Poleh kwa huyo binti,na ubaguzi huu hv mnafataga nini huko,exposure ndo hii ama?bt smtyms ni bora kusoma nchini especially kama hizo course ziko hapa,kwenda nje smtym ni wastage of resources mana wanarudi kufanya kazi na Watanzania wengine kwenye kazi na biashara na mara nyingi wengi wao hamna jipya walilorudi nalo
 
Nddugu Very sad !1 Lakini hutokea sehemu nyingi penye vurugu na Mshikemshike"hata hapa wenye boda boda ukiwagonga utavamiwa"!1
@Bararosa
@barbadosa Ndugu acha kuppandikiza chuki ... kwa kuwavisha Tuhuma na dhambi wasie husika!!
@Barabrosa Fujo lifanyike umbali wa maili 5000 wewe unalaumu jirani wako nchini..???!!!
Just be fair !1 Ustaarabu ni kuomba radhi....
kila la heri mkuu
mention zote hizo hujapatia hata moja!
teh teh
 
Duh!hizo pikipiki sijui bodaboda na vibajaj utadhani bongo.hawa wahindi wana ubaguzi na dharau sana atakuona wa maana kama kuna kitu anapata kutoka kwako,ndio maana me biashara nikifanya na mhindi naenda atakavyoenda yeye,akileta dharau namwonyesha dharau akileta ujinga namletea ujinga,me anidharau mweusi mwenzangu sio hawa na kwao kuna njaa nasikia wanalala hadi nje ila hapa wanataka wabongo tuwaone wafalme..viazi wakubwa.
 
Niliwahi kuishi India kwa miaka mitatu na kwa uzoefu niloupata kule sishangazwi na tukio hili. Uzoefu wangu ulinifanya kuamini kuwa wahindi (baadhi yao) ni wabaguzi na pale ambapo mwenzao anahusika siku zote watakuwa upande wake na hii ni pamoja na kulipiza kisasi.

Natumaini polisi watafanya kazi yao. Tumuombe Mungu amsaidie huyo binti kukabiliana vema na athari za udhalilishaji huo wa kimwili na kisaikologia.

Ni vibaya kusema baadhi kama kweli umeishi India kwa miaka 3. India ubaguzi ni sehemu ya culture yao. Ndani yao hawachanganyiki na hata nje ya nchi yao hawako tayari kuchanganyika. Takriban wote ni wabaguzi na wachache, wachache sana ndo wanaojaribu kukataa tabia hiyo.

India ina ubaguzi ambao hutaupata duniani kote, hata SA ya makaburu haikuwa hivyo. Tuliona wazungu wakioa waafrika in defiance lakini hiyo ikitokea India, ujue maisha ya muhusika yako hatarini na hakika atakufa tu!
btw. wahindi wako EA kwa miaka zaidi ya 100, lakini hadi leo hakuna arusi ya mhindi na mwafrika.
 
Poleh kwa huyo binti,na ubaguzi huu hv mnafataga nini huko,exposure ndo hii ama?bt smtyms ni bora kusoma nchini especially kama hizo course ziko hapa,kwenda nje smtym ni wastage of resources mana wanarudi kufanya kazi na Watanzania wengine kwenye kazi na biashara na mara nyingi wengi wao hamna jipya walilorudi nalo
aliyesoma nje ya nchi utafanya nae kazi lakini salary yako lakilaki zao zinaanzia mamilioni,,,
 
Sisi wakija kwetu tunawapa kila kitu, watanzania tunapaswa tubadilike hii mijitu ya India by nature ni Mibaguzi, Nitamkumbuka sana Mtikila na siasa zake za MAGABACHOLII
 
Mwanafunzi Mtanzania alishambuliwa na kuvuliwa nguo na umati uliokuwa na hamaki katika jiji la Bangalore, kusini mwa India.

Alishambuliwa baada ya gari la mwanafunzi kutoka Sudan kumgonga na kumuua mwanamke mmoja eneo hilo.

Umati ulimvamia mwanafunzi huyo wa kike wa umri wa miaka 21 pamoja na marafiki wenzake watatu, wote kutoka Tanzania.


Walikuwa wakipitia eneo hilo muda mfupi baada ya ajali kutokea.

Umati ulimkimbiza mwanamke huyo na “kumvua blauzi”, polisi wamesema.

Ubalozi wa Tanzania umeitisha taarifa kuhusu kisa hicho, ripoti zinasema.

Kisa hicho kilitokea usiku wa Jumapili, lakini kiliripotiwa mara ya kwanza Jumanne.

Polisi wameambia mwandishi wa BBC Hindi, Imran Qureshi mjini Bangalore kwamba umati ulikusanyika eneo la Hessarghatta baada ya mwanafunzi kutoka Sudan aliyekuwa amelewa kumkanyaga mwanamke aliyekuwa amelala pembeni mwa barabara akiwa na gari lake.

Mwanafunzi huyo kutoka Sudan alipigwa na gari lake kuteketezwa lakini alifanikiwa kutoroka.

"Dakika 30 baadaye, wanafunzi wanne (kutoka Tanzania), walikuwa wakipita waliposimama na kuuliza kilichotokea. Ndipo waliposhambuliwa,” Bernandoo Kafumu, rais wa chama cha wanafunzi wa Tanzania katika chuo kimoja huko amesema.

“Mwanamke huyo hata hakumfahamu mwanamume huyo (wa Sudan) aliyehusika katika ajali hiyo,” mwanachama wa chama hicho cha wanafunzi ambaye hakutaka kutajwa amesema.

"Baada yao kushambuliwa, Watanzania hao walikimbia hadi kwenye gari lao na kujaribu kutoroka. Lakini kulikuwa na kizuizi, na walishuka na kukimbia kwa miguu. Alikimbilia maisha yake. Wenyeji walimkimbiza na kumvua nguo,” ameongeza.

Watu hao pia waliteketeza gari hilo.

Afisa wa ngazi ya juu wa polisi amethibitisha kwamba "blauzi yake iliraruliwa na kuvuliwa, lakini hakunyanyaswa kingono”.

"Baada ya habari kutokea kwenye vyombo vya habari Jumatano, tulimuomba (mwanafunzi huyo) kuwasilisha rasmi malalamishi. Tunafuata taratibu zote, atachunguzwa na daktari,” TR Suresh, naibu kamishna wa polisi wa Bangalore kaskazini, ameambia BBC Hindi.

Bangalore, ina mamia ya wanafunzi wa kigeni, wakiwemo 150 kutoka Tanzania.
 
Back
Top Bottom