Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

kanumba ni binadamu wa kawaida sana kama nilivyo Mimi au ww, kifo kimewekwa na mungu ili nafsi za wanadamu washtuke na kumrudia mwenyewe mungu. Leo kifo cha kanumba kimekua ndo story ya Tanzania, je nimarangapi umekutana na watu njiani wanaenda kuzika na ukaona ni kitu cha kawaida tu? inapotokea kwa famous people watu ndo wanashtuka. huwezi amini, kifo cha kanumba kimeumiza watu kuliko watu zaidi ya 40 waliokufa kwa mvua kubwa pale jangwani.

natoa pole kwa familia ya kanumba kama binadamu mwezangu kwani msiba ni kitu kinachouma sana na sio pole kwakua tu alikua msanii wa Bongo movie.

Vyovyote iwavyo Kanumba ni mmoja ya watanzania maarufu kabisa Tanzania na Afrika Mashariki na kati. Kutokana na umaarufu wake, watu wengi wamemfahamu moja kwa moja au kupitia kazi zake za sanaa. Nafikiri kwa hili hakuna atakayekataa. RIP Kanumba
 
Nachelea kusema kuwa huko O-bay police wakati wanachukua maelezo ya haka kabinti wakapime na MIMBA pia! Yawezekana atakuwa na ujauzito wa KANUMBA pia!
 
Poleni familia ya Kanumba.
Bado hastahili mazishi ya kitaifa, kuna protocal ambazo zipo katika vitengo zinazoashiria NANI anapaswa kupata heshima ya kitaifa.
 
May she acted on self defense!

Yaweza kuwa kweli. Tatizo ni kuwa mpaka ije kudhihirika hivyo, atakuwa maeshapata mateso makubwa sana mikononi mwa polisi na jamii itakuwa na mtizamo hasi juu yake.

RIP Kanumba.
 
Yatasemwa mengi hizo ni tabia za mastaa wengi.Kanumba kafa hakuna wa kupinga kifo.Lulu ni kama wanawake wengine mastaa na vituko vyao
 
Sorry in advance,ni kifo cha aibu sana,kweli nzi(kanumba) hufia kwenye kidonda(lulu).
 
ACP Charles Kenyela kamanda wa polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni akithibitisha kuwa suspect namba moja wa mauaji haya ya Kanumba yuko mahabusu.
 
Back
Top Bottom