Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Nimeota Ramsey kafunga goal la ushindi against Man six! This time mtu anavuta kwanza then Ramsey anascore!

Acha utani mkuu, watu tupo msibani saa hii.

Kwa hiyo ndo kusema jamaa hawashindi ni mpaka mtu afe?
 
Na zile habari za bifu na mwenzie Ray! Inaweza ikawa mahali pazuri pa kuanzia
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, R.I.P Kanumba, utakumbukwa daima kwa jitihada zako katika tasnia ya filamu nchini Tanzania
 
Ray inabidi ahojiwe na yeye coz hawa watu walikua wana beef na ray alipiga pix za mahaba na lulu ili kumuumiza kanumba so inawezekana ray kachonga mchongo na lulu wammalize,Police wetu wa tanzania mpigeni Pinch Ray ataeleza ukweli.

dah,hlo nalo linapaswa kufanyiwa investigation
 
Ray inabidi ahojiwe na yeye coz hawa watu walikua wana beef na ray alipiga pix za mahaba na lulu ili kumuumiza kanumba so inawezekana ray kachonga mchongo na lulu wammalize,Police wetu wa tanzania mpigeni Pinch Ray ataeleza ukweli.

Duh, haya nayo mengine tena!
 
ndiyo yule aliekuwa anamponda Baba yake mzazi kwenye vyombo vya habari? Kama ndiye basi ni laana ya kuwaponda wazazi. Maandiko yanatutaka kuwaheshimu Baba na Mama ili tupate kuishi miaka mingi na tupate heri duniani. Mara nyingi tukiwa na mafanikio huwa hatukumbuki kuna michango ya wazazi. Hata kama angekuwa anakuchapa kila kukicha but kakuleta duniani. Kama ndiye, Mungu amrehem jamani. Na sisi wengine tujifunze na tusilewe tukatukana wazazi.

Nashukuru kwa mawazo hafifu, hivi watu wangapi wanawaponda wazazi wao na hawafi?...hebu acha hizo...
 
R.I.P Steven Kanumba, pole kwa wana familia na tasnia nzima ya bongo movies.

May his Soul Rest in Eternal Peace. Amen
 
mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe ni pigo kubwa sna kwa watz mungu awe mfarigi ktk familia yke ktk kipindi kigumu cha maombolezo
 
Kanumba brother!uliplay part kubwa katika kunishawishi kuingia katika bongo movie enzi za uhai wako!na kuna uwezekano mkubwa nikatoka kutokana na kifo chako!ulikuwa ni zaidi ya mshkaji...RIP ma man steve!...dah!kanumba mkali wangu ni kama ndoto!
 
Twendeni taratibu jamani; kuanza kudai huyo binti "kamuua" tunaenda mbali sana. Inawezekana kabisa ni accidental death. Maana wengine wanaseema "kauawa" ni kana kwamba kulikuwa na mipango na nia ya kufanya hivyo. Yaani, hili haliangukii hata kwenye crimes of passion kama ndivyo lilivyotokea. Twendeni taratibu na huyu binti mdogo tusianze kumshakizia mzigo wa mauaji wakati hatujui nini hasa kilitokea kati yao. Lets get the details before we form opinions.

Ni kweli unayoongea MMM lkn hili lulu hatoki mpaka ije kuthibitishwa ni bahati mbaya ashakula nyundo tano jela!
 
honestly ni mapema mno, he deserved a lil bit f a tym bt who is 2 question Gods decesion? we follow
 
Back
Top Bottom