Jamani tuwe na huruma. Naona ajabu watu wanamlaumu marehemukwa uhuni na kuwa msela bila sababu. Mie naona heri yake ambaye hajaacha vitotovisivyotambulika kama wanaotetea ujinga wa baba yake ambaye alimtelekeza lakinialipoona amefanikiwa anakuja kuvuna asipopanda. Hili ndilo tatizo la watanzaniawengi. Wanapenda kulaumu mlipodondokeabadala ya kulaumu mlipojikwaa. Hivi unapomkana mwanao halafu akikukana si ndiyohaki? Ulimkana akiwa hajijui sasa anajijua sioni ubaya akikulipa hivyo hivyo.Uzazi si kutungisha mimba bali kulea jamani wote tuna watoto tunajua uchungu wamwana. Mzazi asiye na uchungu wa mwana basi si mzazi ni mzazi bahati mbaya.
huyo aliyetwaa, ndiye the Great !mngu alitoa na mngu ametwaa.rest in peace the great
We uliyepost ndo mshamba na mbwiga.. Unatumia msiba wa kanumba RIP kudhalilisha wengne.. Hcho kpnd hata mi nimekitazama.. Hakuzungumza kwa mtazamo wako hafifu.. Ye alisema kwamba akifanya hk kama kununua lexus na kanumba hufanya and vice versa. Kwa hvyo alivyozungumzia kiwanja na mengne ilikuwa kutilia mkazo huja yake, kitu ambacho kila mtu hufanya. Kuwe na upeo mpana kidogo.
Sasa kama Mama yake ndio alitoa mchango mkubwa kwa nini ana gubu na Mama wakambo? Si tayari kapewa mchango mkubwa na mama yake mzazi? Kwani Mama wakambo mama yake? Na tunajuaje kama mama yake mzazi hakumtosa baba yake ndio maana wakawa stranded? Na kama mama yake mzazi alikuwa anampenda sana kwa nini alimtosa kwa Mama wakambo?... Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo.
Labda MISS KEKO, MISS SEGEREA au MISS UKONGA 2012.
Kanumba alikuwa ana create jobs kivipi?Kanumba alikuwa anacreate jobs,some watakuwa jobless,so sad
Nice questionIdadi ya wanawake hapo msibani inaelekea ku-out number wanaume au camera yako ililenga wanawake?