na ugeni wangu,nilitegemea topic ingeisha kwa jibu moja tu.hastahili. Kwamba jeneza la SK lifunikwe kwa bendera yetu ya taifa? Kwa lipi? Ni watoto wangapi wa kizazi kipya amechangia kuwaharibu na kuozesha akili zao? Ni kwa kiasi gani amechangia mmomonyoko wa maadili mpaka sebule hazikaliki? Nawapa pole FAMILIA yake,na hasa mama yake mzazi,lakn tusiongele state funeral!