Kwa mujibu wa maelezo ya Ndugu yake Kanumba ambaye alikuwepo nyumbani hapo ni kwamba, Kanumba na Lulu walikuwa wakibishiana juu ya simu ya lulu, kwani Lulu alikuwa anaongea na simu na bwana mwingine, kanumba alipotaka kumnyang'anya ndipo walipoanza kusukumana na kanumba akaanguka na kujigonga vibaya!
Lulu kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi!