Usinikumbushe msiba wa mjomba wangu ulivyokuwa mbinde...
Alifariiki ghafla.. Kwenda kumpelekea taarifa za kifo cha mwanae.. Akasema hana mtoto mwenye jina hilo!
Ilikuja kukubalika baadaye kuwa atashiriki kwa mazishi baada ya watoto wake wengine kupiga magoti na kuomba msamaha kwa ajili ya ndugu yao..
Maana kwa mujibu wa yule mzee,yule,mwanae huyo alimkana live kwamba wewe si baba yangu kuanzia leo,na sitalitumia tena jina lako..!
sure kaka ckuhizi ni kiwanda cha kuuza sura, kisha wanasahau kuwa Kuna Mungu bahati mbaya wote tutakufa na Mungu ategemei wanadamu wanasema nani awekwe wapi bali anahukumu kwa haki so fanya mema Mungu atakutunuku siwezi kumbwelambewela mwisho utegemee watu waseme RIP coz God haangalii wangapi wanasema like . Najua hatupendi kuelezwa ukweli but huo ndio ukweli
labda ni lahana ya kumkana baba yake kuptia vyombo vya habari na magazeti. Ata hivyo alaumiwe Shigongo kwa kukuza migogoro ya watu kama wa RAY na Kanumba, kutoka kwenye urafiki kuwa adui.
mkuu! Hakuna kuomba hapa, kifo chake kama inasemekana, 7bu ni mapenzi, while huyu lulu c mke wake. Mungu wa kweli hana muda wakusikiliza kelele. Infact, tasnia ya filamu ni 1 ya kitengo cha shetani.! Sorry huo ndo ukweli
Usituletee imani zako hapa.... Nani kakwambia filamu ni kitengo cha shetani!!! Ni kazi halali inayoingizia watu kipato halali. Kumbuka "Asiyefanya kazi na Asile".
R.I.P.KANUMBA. tutakukumbuka kwa mengi sana ukweli roho zetu zinaumia sana mana tumekupoteza mtu muhimu katika jamii na katika tenesia ya filamu.Mungu ailaze mahala pema tutakumiss sana.kazi ya mola haina makosa nenda nenda salama mkubwa.