Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jituxs, Mar 5, 2011.

 1. J

  Jituxs New Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mfano Dingi asipokuwA NA Maamuzi ndani ya nyumba, Itakuwaje?
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Mama anachukua nafasi
   
 3. V

  Vumbi Senior Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hiyo nyumba itakuwa kwenye wakati mgumu yatakapo hitajika maamuzi yake kwenye mambo ya msingi yanayohusu familia hiyo. Kinacho takiwa ni kutafutwa mtu mwingine ndani ya familia atakaye chukua nafasi hiyo ili kuokoa jahazi vinginevyo familia hiyo itaangamia ndani ya muda mfupi.
   
Loading...