Mkuu sijui kwa nini nikiyona lugha hii basi huwa napatwa na kigugumizi tena cha nguvu na siyo mimi tuu humu tupo wengi na hii topic utaiyona namna itakavyo doda na ombi langu uwe unafanya kwa kuitafsiri kwa maandiko ya kibantu samahani lakini usije ukafikiri mimi ni ufundi wa kufundisha kumbe ni mimi sawa sawa na mgando na tope aksanti na tutazidi kupiana elimu