Tanzania yetu yajifunga Kitanzi huko Morocco, No Industrialization, inauma sana!

Ukiangalia hyo picha ya makamba ..utaona kama anajilaumu hv kwa kutuingiza chaka
 
Hawa majaama hizi nishati kwao zishaanza kuisha na Africa ndo zinaanza kugundulika, sasa ili kuendeleza sera yao ya kuwa Afrika isisonge mbele ndo wameamua kuweka hiyo ishu ya mazingira. kuoitia hako ka mkataba izi nishati za coal, oil n.k zitakuwa hazina bei, hawa wazungu watakuwa wananunua kwa bei chee na kutumia kwao sio wafrika tutabaki kutunza mazingira! :D
 
Mkutano mkubwa wa Climate change wa UN umeisha huko Mji wa Marakesh nchini Moroko, sasa kilichonistua na kunishangaza ni kwamba nchi 48 masikini klk zote Duniani zijulikanzo kama 48 least developing countries ambapo nchi yetu pia ni Mwanachama wakundi hilo, zimesaini death sentence na Wazungu kwamba kuanzia sasa hakuna na wataacha rasmi matumizi ya Makaa ya mawe, Gesi na Oil, ili kuokoa mazingira!

Na badala yake makubaliano hayo yanasema kwamba nchi hizo yaani zetu zitatumia njia mbadala kama vile kuzalisha umeme kwa kutumia upepo, solar & Co.!

Ikumbukwe kwamba hakuna nchi iliyoweza kuindustrialize bila ya kutumia fossil fuel na huwezi kamwe industrialize leo hii kwa kutumia umeme wa upepo au jua!

Donald Trump Raisi mteule wa USA amesema kwamba USA itaondoka kwenye huo mkataba ili aweze kujenga Viwanda na kuzalisha ajira, sisi tunakwenda kusaini kukubali, WTF??

Sasa mnatudanganya gas economy wakati mnakwenda kusaini makubaliano na wazungu kuacha kutumia Gas, Oil na coal kuzalisha Umeme, hiyo Gas economy maana yake nini? Hivi mnaelewa kweli mnachokifanya? Hivi ni kwa nini hawa Wazungu mnawaamini namna hii?

Kweli nimeamini kwamba Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!

Hawa ndiyo wawakilishi wa TZ huko Moroko sijui hata kama wameelewa walichosaini, hii ni death sentence, man!

unnamed-11-768x431.jpg
chezea malobyst wa dunia wewe, wenyewewe wamewaingiza chaka mwishoni wamejitoa, navyowajua hao malobyst wa kimataifa huenda hao kina february walilambishwa bila kujua wanaenda kuuvaa mkenge,

wenye upeo wa mbali target ni kuharibu biashara ya China Urusi na nchi maskini kama tz,

mwisho nikupongeze kwa kuonyesha uzalendo
 
Kwa mwendo credibility ya JF itaendelea kushuka sana, thread nyingi content zake zina walakini mkubwa.
Mosi, Tz kusaini haimaniishi ndio imeshapita hiyo ni lazima bunge liridhie ndio tuwe tumekamilisha mchakato mzima.

Pili, si nchi maskini tu zilizo saini huu mkataba, zaidi ya nchi 111 zimeshasaini zikiwemo hizo nchi tajiri USA, China, UK na European Union.

Tatu, mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi sema global warming is an hoax, kwa kuwa tu Trump aliropoka hivyo haimaniishi na wewe uamini, za kuambiwa changanya na zako, ni mjinga pekee anayeweza kusimama mbele ya umati na kusema global warming is an hoax.

Nne, inaonekana hujui hata dhumuni la huo mkataba, mkataba unasema wataanza kupunguza kutumia nishati isiyo rafiki kwa mazingira na sio kuacha, hivi unategemea China na Marekani wanaweza acha kutumia makaa ya mawe ndani ya hata miaka 20 ijayo?

Barbarosa acha siasa nyepesi, kama una tatizo na Makamba kakomae nae jimboni na sio kuleta siasa mufilisi hapa.
Sisi hatukatai kuhusu Global warming ila kwa nini wanaleta mikataba ya kutushinikiza sisi tupunguze matumizi ya gesi ukaa na tusijenge viwanda ili hali wao huko kwao hawapunguzi matumizi kwa kufunfa hivo viwanda vyao??
 
Mkutano mkubwa wa Climate change wa UN umeisha huko Mji wa Marakesh nchini Moroko, sasa kilichonistua na kunishangaza ni kwamba nchi 48 masikini klk zote Duniani zijulikanzo kama 48 least developing countries ambapo nchi yetu pia ni Mwanachama wakundi hilo, zimesaini death sentence na Wazungu kwamba kuanzia sasa hakuna na wataacha rasmi matumizi ya Makaa ya mawe, Gesi na Oil, ili kuokoa mazingira!

Na badala yake makubaliano hayo yanasema kwamba nchi hizo yaani zetu zitatumia njia mbadala kama vile kuzalisha umeme kwa kutumia upepo, solar & Co.!

Ikumbukwe kwamba hakuna nchi iliyoweza kuindustrialize bila ya kutumia fossil fuel na huwezi kamwe industrialize leo hii kwa kutumia umeme wa upepo au jua!

Donald Trump Raisi mteule wa USA amesema kwamba USA itaondoka kwenye huo mkataba ili aweze kujenga Viwanda na kuzalisha ajira, sisi tunakwenda kusaini kukubali, WTF??

Sasa mnatudanganya gas economy wakati mnakwenda kusaini makubaliano na wazungu kuacha kutumia Gas, Oil na coal kuzalisha Umeme, hiyo Gas economy maana yake nini? Hivi mnaelewa kweli mnachokifanya? Hivi ni kwa nini hawa Wazungu mnawaamini namna hii?

Kweli nimeamini kwamba Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!

Hawa ndiyo wawakilishi wa TZ huko Moroko sijui hata kama wameelewa walichosaini, hii ni death sentence, man!

unnamed-11-768x431.jpg
haya ndo mambo ambayo umoja wa nchi huru AU wanatakiwa kuita mkutano haraka na kujadili ili kulinda uchumi wa afrika, siyo mikutano ya kujadili kujitoa ICC
 
Mkutano mkubwa wa Climate change wa UN umeisha huko Mji wa Marakesh nchini Moroko, sasa kilichonistua na kunishangaza ni kwamba nchi 48 masikini klk zote Duniani zijulikanzo kama 48 least developing countries ambapo nchi yetu pia ni Mwanachama wakundi hilo, zimesaini death sentence na Wazungu kwamba kuanzia sasa hakuna na wataacha rasmi matumizi ya Makaa ya mawe, Gesi na Oil, ili kuokoa mazingira!

Na badala yake makubaliano hayo yanasema kwamba nchi hizo yaani zetu zitatumia njia mbadala kama vile kuzalisha umeme kwa kutumia upepo, solar & Co.!

Ikumbukwe kwamba hakuna nchi iliyoweza kuindustrialize bila ya kutumia fossil fuel na huwezi kamwe industrialize leo hii kwa kutumia umeme wa upepo au jua!

Donald Trump Raisi mteule wa USA amesema kwamba USA itaondoka kwenye huo mkataba ili aweze kujenga Viwanda na kuzalisha ajira, sisi tunakwenda kusaini kukubali, WTF??

Sasa mnatudanganya gas economy wakati mnakwenda kusaini makubaliano na wazungu kuacha kutumia Gas, Oil na coal kuzalisha Umeme, hiyo Gas economy maana yake nini? Hivi mnaelewa kweli mnachokifanya? Hivi ni kwa nini hawa Wazungu mnawaamini namna hii?

Kweli nimeamini kwamba Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!

Hawa ndiyo wawakilishi wa TZ huko Moroko sijui hata kama wameelewa walichosaini, hii ni death sentence, man!

unnamed-11-768x431.jpg
Serikali yetu ilivyosikivu nainavyopenda watu wake haiwezi kusaini upumbavu huu, nitakuwa WA mwisho kukubali.
 
Jamani kaandika mtu bila hata ya source wala kutupa link ya details za mkataba wenyewe ila waswahili washaanza kuponda bila kufikiri.
 
Mkuu achana kubishana na mleta mada, its a futile excercise. Kwanza haelewi kwamba Tanzania haiwezi kua committed kwenye mkataba kama huo kwa sahihi ya wawakilishi wetu wachache huko morrocco. Mkataba wenye implications za namna hiyo lazma uje bungeni kua ratified..na kamwe ujinga huo hauwezi kupita bungeni.

Lakini pamoja na hilo yatupasa tukiri kwamba mabadiliko ya tabia nchi (climate change) ni jambo la kweli...sio uongo kama trump anavyotaka kuaminisha dunia. 99% ya wanasayansi wanasema ni kweli...na hata kama we sio mwanasayansi....safiri tu uende mkoa wa kilimanjaro utazame mlima...ile koni inakaribia kupotea kabisa...ni global warming.

Kwahiyo tusishabikie tu matumizi ya makaa ya mawe. Ni kweli viwanda vyetu vinahitaji umeme mkubwa na wa uhakika...binafsi ningependa tutumie gesi na maporomoko ya maji zaidi na pengine geothermal kuliko makaa ya mawe. Hiyo itasaidia.
Nchi zilizoendelea ndiyo wachafuzi wa mazingira nambari one,e.g China na hata marekani wenyewe na hata nchi zingine huko ulaya,Africa tuna shida sana ukiangalia swala la gas na makaa ya mawe havina siku nyingi sana hapa kwetu Tanzania na wala kwanza hatujavifaidi, vingine ndiyo kwanza vinagundulia na sehemu zingine bado wanafanya exploration.Sasa kma hawa wawakilishi wetu wamesaini hiyo kitu sijui maana yake nini,Africa tumechelewa kila kitu.
 
Mkuu achana kubishana na mleta mada, its a futile excercise. Kwanza haelewi kwamba Tanzania haiwezi kua committed kwenye mkataba kama huo kwa sahihi ya wawakilishi wetu wachache huko morrocco. Mkataba wenye implications za namna hiyo lazma uje bungeni kua ratified..na kamwe ujinga huo hauwezi kupita bungeni.

Lakini pamoja na hilo yatupasa tukiri kwamba mabadiliko ya tabia nchi (climate change) ni jambo la kweli...sio uongo kama trump anavyotaka kuaminisha dunia. 99% ya wanasayansi wanasema ni kweli...na hata kama we sio mwanasayansi....safiri tu uende mkoa wa kilimanjaro utazame mlima...ile koni inakaribia kupotea kabisa...ni global warming.

Kwahiyo tusishabikie tu matumizi ya makaa ya mawe. Ni kweli viwanda vyetu vinahitaji umeme mkubwa na wa uhakika...binafsi ningependa tutumie gesi na maporomoko ya maji zaidi na pengine geothermal kuliko makaa ya mawe. Hiyo itasaidia.
Bunge gani?
 
TZ yetu imeshasaini mtu wangu hayo makubaliano, ina maana Viwanda vyetu vitaendeshwa na umeme wa upepo, Jua &Co lkn siyo gas wala Makaa ya Mawe!
Weka ushahidi basi hapa, wacha kupiga mayowe! Yaani wewe ndo uwe na uelewa wa kumzidi February Marope kwenye kuelewa Kiingereza? Haiwezekani kabisa! Kama huna ushahidi wa hiki unachopigia mayowe bora ukae kimya ccm mkubwa wewe!!
 
Barbarosa, this is what we call 'PUT ISSUES ON TABLE, LET'S DISCUSS' siyo zile mambo zako za ukada. Leo umeleta cha maana. Thanks
 
Viongozi wasasa wa Africa hawana tofauti na chief magungo wa Msovero Ku sign kila kitu na hii ndo neo colonialism jinsi inavyo operate kwa developing countries effectively. Wazungu wanakupangia kila kitu
kwakweli hawana tofauti!! pale unapoanza kufikiri labda mambo yataanza kukaa mkao..,,, wanakuja na jipya la kutiacha midomo wazi
 
Mkutano mkubwa wa Climate change wa UN umeisha huko Mji wa Marakesh nchini Moroko, sasa kilichonistua na kunishangaza ni kwamba nchi 48 masikini klk zote Duniani zijulikanzo kama 48 least developing countries ambapo nchi yetu pia ni Mwanachama wakundi hilo, zimesaini death sentence na Wazungu kwamba kuanzia sasa hakuna na wataacha rasmi matumizi ya Makaa ya mawe, Gesi na Oil, ili kuokoa mazingira!

Na badala yake makubaliano hayo yanasema kwamba nchi hizo yaani zetu zitatumia njia mbadala kama vile kuzalisha umeme kwa kutumia upepo, solar & Co.!

Ikumbukwe kwamba hakuna nchi iliyoweza kuindustrialize bila ya kutumia fossil fuel na huwezi kamwe industrialize leo hii kwa kutumia umeme wa upepo au jua!

Donald Trump Raisi mteule wa USA amesema kwamba USA itaondoka kwenye huo mkataba ili aweze kujenga Viwanda na kuzalisha ajira, sisi tunakwenda kusaini kukubali, WTF??

Sasa mnatudanganya gas economy wakati mnakwenda kusaini makubaliano na wazungu kuacha kutumia Gas, Oil na coal kuzalisha Umeme, hiyo Gas economy maana yake nini? Hivi mnaelewa kweli mnachokifanya? Hivi ni kwa nini hawa Wazungu mnawaamini namna hii?

Kweli nimeamini kwamba Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!

Hawa ndiyo wawakilishi wa TZ huko Moroko sijui hata kama wameelewa walichosaini, hii ni death sentence, man!

unnamed-11-768x431.jpg
Wamesaini tu lkn hawatatekeleza nakuambia. Kama watu walianzisha ICC leo hii wameitosa itakuwa hayo mamikataba?
 
Si kweli! We barbosa hujui kitu unaingilia fani isokuwa yako. Huu mkataba unaangalia wale waliochangia zaidi gesi ukaa na kuwabana wapunguze viwango vya uzalishaji gesi hii. Nchi za kwetu hazijachangia chochote katika gesu ukaa kwa sababu hatuna viwanda. Na mkataba unasema nchi madkini sana zitaendelea kuruhusiwa kiwango fulani cha gesi ukaa, (grace period) lakini zile zilizoendelea zaidi zitapaswa kuchangia nchi masikini kiteknolojia na kifedha ili ziweze kupunguza kiasi cha uzalishaluzaji wa gesi hii au kuineutralize! Kuna masharti nchi tajiri zimepewa ili ziweze kuwa justified kuxibana nchi masikini! Hivyo ni kama tu masharti hayo yatatekekezwa ndipo nchi madikini zitabanwa kupunguza uzalishaji wa gwsi ukaa. Lakini for the time being nchi madikini sana zitaendelea kutumia makaa ya mawe, gesi na petroli mpaka wakaribuane na zikizoendelea. Lakini waksti huohuo lazima wajue hawataendelea kuruhusiwa kuzalisha gesi ukaa for too long!
 
Mkutano mkubwa wa Climate change wa UN umeisha huko Mji wa Marakesh nchini Moroko, sasa kilichonistua na kunishangaza ni kwamba nchi 48 masikini klk zote Duniani zijulikanzo kama 48 least developing countries ambapo nchi yetu pia ni Mwanachama wakundi hilo, zimesaini death sentence na Wazungu kwamba kuanzia sasa hakuna na wataacha rasmi matumizi ya Makaa ya mawe, Gesi na Oil, ili kuokoa mazingira!

Na badala yake makubaliano hayo yanasema kwamba nchi hizo yaani zetu zitatumia njia mbadala kama vile kuzalisha umeme kwa kutumia upepo, solar & Co.!

Ikumbukwe kwamba hakuna nchi iliyoweza kuindustrialize bila ya kutumia fossil fuel na huwezi kamwe industrialize leo hii kwa kutumia umeme wa upepo au jua!

Donald Trump Raisi mteule wa USA amesema kwamba USA itaondoka kwenye huo mkataba ili aweze kujenga Viwanda na kuzalisha ajira, sisi tunakwenda kusaini kukubali, WTF??

Sasa mnatudanganya gas economy wakati mnakwenda kusaini makubaliano na wazungu kuacha kutumia Gas, Oil na coal kuzalisha Umeme, hiyo Gas economy maana yake nini? Hivi mnaelewa kweli mnachokifanya? Hivi ni kwa nini hawa Wazungu mnawaamini namna hii?

Kweli nimeamini kwamba Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!

Hawa ndiyo wawakilishi wa TZ huko Moroko sijui hata kama wameelewa walichosaini, hii ni death sentence, man!

unnamed-11-768x431.jpg
Hii sera ya Viwanda haikuwepo na wala haipo. Ni wazo tu la Rais. Wazo siyo sera ......... Tusitafute sababu! !
 
Back
Top Bottom