ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,712
Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
duuuh na ww akili zako
Idiotism at its role!Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Umeuliza umeme wao wanajengaje?
Hawageuzi nchi jangwa na kuua wanyama kujenga hizo Megawati 48k!
Jifunze kujenga umeme bila kuchoma nchi!
Kwa analogy yako ya Stigler's ,utatakiwa uchome Africa nzima kupata hizo megawati 48k za Taiwani....
Punguani kabisa nyie!
Shida si kupata 2000 mW kutoka kwenye gesi shida ni gharama yake ni kubwa kwa sababu vitalu vya gesi vinamilikiwa na wageni,pia kuna wakubwa wamejitengenezea mradi wa kuhakikisha uzalishaji wa umeme kutokana na gesi yote bei iwe kubwa mfano ni Song gas.Na hao watu wapo wanaheshimika hawaguswi.Sahau mambo ya gesi tumeishaliwa.MW 2000 zinapatikana from gas pia.
Kwani ni maji tu?
Hao wazungu waje na hela za kufund alternatives to hiyo Stieglers Gorge sio tu kusema tusiijenge.
Afute hiyo mikataba kwani vp?Shida si kupata 2000 mW kutoka kwenye gesi shida ni gharama yake ni kubwa kwa sababu vitalu vya gesi vinamilikiwa na wageni,pia kuna wakubwa wamejitengenezea mradi wa kuhakikisha uzalishaji wa umeme kutokana na gesi yote bei iwe kubwa mfano ni Song gas.Na hao watu wapo wanaheshimika hawaguswi.Sahau mambo ya gesi tumeishaliwa.
naona unajaribu kulinganisha usiku na mchana, good luck!!Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Usilinganishe nchi ya Taiwani na nchi ya ajabu ajabu..... tafuta nchi kama Malawi Burundi au Zambia ndo ufanye ulinganisho wa maana.
Nasikia kwenye gas tunatumia less 10%
Mbowe hoyeeeeeeeeeeeeeeKama ni hivyo hapo sasa tuko pamoja na JPM 🙂
ABOVE THE LAWAfute hiyo mikataba kwani vp?
Mwenzetu umeshampata mjomba wa kutuletea maendeleo?Kiukweli hii nchi ukimpa Msingapore, Emir wa Dubai, Mwingereza inainuka baada ya miaka mitano tu na miaka kumi itasimama imara.
.