Mkuu hii TTCL kutoboa kazi sana. Mfano kwa Mwanza wameweka 3G tu, hamna 2G wakati watuamiaji wa smartphones ni wachache ukilinganisha na feauture phones.TGIF-Katika vita ya utashi na maarifa ,anayeshindwa ni yule mwenye uwezo mdogo wa maarifa na utashi na mshindi ni yule mwenye hazina ya maarifa na mbinu za ushindani.
Naitizama Tanzania yangu na mambo yote yanayoendelea kwa sasa na kuona mambo kwa jicho la tatu.Vodacom,Tigo na Airtell ndio wanaonufaika kwa kila jambo ambalo linatokea kwa sasa .
TTCL bado wanashangaa kwa kila jambo,jaribu kutafakari kama watu 3,000,000 wakanunua kifurushi cha MB cha Tsh 1000/- kwa siku moja kwa mwezi wataingiza Tsh ngapi?
Kabla ya kuanza kujenga viwanda yatakiwa tuanze kuboresha Company ya TTCL kuwa mshidani na company zingine za simu kama Tigo,Vodacom na airtell.Always forgive your enemies but never forget their names.
Wabongo kwa kulalamika na ujuvi ni kipaji
TTCL =ATCL ....marketing strategies zao na team zao zinapaswa kukaa na kujiangalia.Wabongo kwa kulalamika na ujuvi ni kipaji
Mkuu hoja hupingwa kwa hoja, kuwa objective na si subjective.Wabongo kwa kulalamika na ujuvi ni kipaji
Hakuna hoja hapo ya kujibu, Ni malalamiko tu kama kawaida ya wabongoMkuu hoja hupingwa kwa hoja, kuwa objective na si subjective.
Huwezi kuiona kama hujaifahamu telecom industry ya hapa Tanzania inavyofanya kazi.Hakuna hoja hapo ya kujibu, Ni malalamiko tu kama kawaida ya wabongo
Karibu katika kizazi cha T. TumefanikishaKuna watu wanatumia huo mtandao
Ndiyo kipoje hicho kizazi cha TKaribu katika kizazi cha T. Tumefanikisha
Wanamaanisha mapinduzi mapya katika kampuni yao TTCLNdiyo kipoje hicho kizazi cha T
Mkuu vocha si utumie M-PESA naona ndo njia rahisi na ya harakaWatanzania wanependa vitu vyao sana ila viongozi wa serikali wanashindwa kuona hili swala. Ukitaka kuamini soma pages za TTCL za Facebook, au Instagram watu wanaulizia sana kama huduma imefika kwenye maeneo yao. Yaani roho inauma sana kuona kuona jinsi kampuni kama halotel wamekuja juzi tu hapa lakni wanawateja 2 million, Walijipanga kwelikweli walitangaza kama cheap network na mtandao uliosambaa zaidi vijijini wananchi walisaidia sana kuipa promo hii kampuni. TTCL kuna vijana wazuri sana wazalendo ambao ni wazuri sana w kwenye marketing naamini wapo tayari kujitolea kwa ajili ya nchii yao . Leo hii malamiko ya wateja wa TTCL ikiwemo na mimi upatikanaji wa vocha kwa urahisi, mtandao kutokuwa wa uhakika maeneo kama bunju mbweni bagamoyo kuna network inakuwa chenga. Kusambaa mikoani na vijijini. Wajipange sana tuone siku moja vodacom(T) inakuwa subsidiary kampuni ya TTCL na tunatoka na kwenda kuwekeza nje ya nchi.
Kwanini tututmie platform ya kampuni nyingine? Kina washinda nini kuweka yao? Kumbuka hii ni kampuni kongwe kuliko zote za mawasiliano hapa Tanzania.Mkuu vocha si utumie M-PESA naona ndo njia rahisi na ya haraka