Watu wengi hapa mnafikiria vikwazo na kujustify kwamba mambo hayawezekani.Ila from my experience opportunity zipo nyingi tuu bongo and as a freelance software developer nimefanya application nyingi tuu ambazo zinatumika kwenye serious business na mimi inshallah mambo yanaenda.so dont ever ever giveup
Google chairman Eric Schmidt has said education in Britain is holding back the country's chances of success in the digital media economy.
He made his comments at the MacTaggart Lecture at the Edinburgh International Television Festival.
Dr Schmidt said the UK needed to reignite children's passion for science, engineering and maths. And he announced a partnership with the UK's National Film and TV School, to help train young online film-makers. Dr Schmidt told the audience of broadcasters and producers that Britain had invented many items but were no longer the world's leading exponents in these fields.
Endelea kusoma chapisho hili hapa BBC News - Google's Eric Schmidt criticises education in the UK
Naomba ndugu "PakavuNateleza" utupe mifano, hata kama ni descriptive info tu ya solutions ambazo umefanikisha ili wenzio waweze kujua nini kinahitajika in the software development arena. Najua kazi zingine labda zina clauses ya confidentiality. lakini descriptive info bado unaweza kutoa.Watu wengi hapa mnafikiria vikwazo na kujustify kwamba mambo hayawezekani.Ila from my experience opportunity zipo nyingi tuu bongo and as a freelance software developer nimefanya application nyingi tuu ambazo zinatumika kwenye serious business na mimi inshallah mambo yanaenda.so dont ever ever giveup
Kampuni kuwa tishio has nothing to do with a better product.., bali ni marketing ya nguvu, promotion na kuwa at the right place at the right time, na mtu aliyeshapata loyal customers ni vigumu kwa newbie kuwachukua hao customers..., lakini its possible.. Yahoo was once great before google ingawa adwords, adsense na diversity ya google imekuja kasi.., Microsoft sio kwamba alikuja na products out of the box bali aliweza kuzichukua na kuziweka kwenye mainstream, na baada ya wengi kumzoea there was no chance kumuhama hata kama kuna better products.., ebay is one of the biggest ingawa alibaba amekuja juu kutokana na big suppliers base, Amazon sababu ya diversification, experience na kujulikana ni vigumu kwa kampuni nyingine inayofanya everything as Amazon kumpiku..inawezekanaje mtu akaanzisha kampuni itakayokuja kuwa tishio kama M$ au kama iEverything au google?