Tanzania yetu Enzi za Mwl JKN Vs JMK

Tanzania yetu Enzi za Mwl JKN Vs JMK

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Mwl JKN alijitahidi kujenga mshikamano, upendo, amani miongoni mwa watanzania wote. Baadhi ya rasilimali kama madini, gesi hakutaka kuzirukia gafla akitegemea watanzania watafikia mahali waweze kuzichimba na kuziprocess wenyewe kwa manufaa yao wenyewe.

Mwl alikuwa mtu mungwana na msikivu sana na anayeshughulikia jambo kwa wakati ( sifa kuu ya baba )

Mwl hakupenda ubinafsi wala uonevu dhidi ya tabaka la chini bali alipenda watanzania wasaidiane kwa hali na mali ili waweze kujikomoa kwenye matatizo yaliyowakabili

Mwl hakubagua watu kwa itikadi za kidini, kikabila, kikanda wala kimtizamo bali alijaribu kuweka watu karibu na pamoja

JMK amekuwa kiongozi mzito kufanya maamuzi sahihi pale yanapotakiwa kabla jambo halijaleta madhara makubwa

JMK amekuwa mtu wa kusubiria aone reaction ya watu ndiyo aende kwenye uelekeo wao ili kuwin majority ( cheap popularity )

JMK amekuwa akishindwa kutofautisha mambo ya kichama na kitaifa. Ameshindwa kujua kuwa yeye ni kiongozi wa itikadi zote na watu wote

JMK amefumbia macho mambo mazito ambayo yalitakiwa yeye kama baba atoe tamko
Mfano: Mauaji yenye Utata, mauaji ya watu wasio na hatia, kuteswa kwa raia, rushwa iliyokithiri, utoroshwaji nje wa rasilimali za taifa, udini, n.k

JMK amekuwa mtu wa kuwakingia kifua watu wasiyowema kwa taifa mfano wezi wa EPA, walifocha vijisenti new jersey, kashfa ya radar, kashfa ya Jairo na Luhanjo

JMK amekuwa akipotoshwa na viongozi wake waandamizi bila kujua. Mfano hili suala la gesi kumekuwa na kasoro ya kutoshirikishwa na kupewa elimu wana mtwara. Amedanganywa kuwa ni wanasiasa wanawalisha maneno bila kujua hii tz ya sasa siyo ile ya enzi za ukoloni watu hawakuwa na fursa za kujua na kuchambua mambo kiyakinifu

Ushauri: Kero za wananchi zisikilizwe na kupatiwa ufumbuzi, kuacha kutumia nguvu ya ziada dhidi ya wapigania haki zao, kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu rasilimali za watanzania, kushughulikia kasha za rushwa na ufisadi kwa uwazi na haraka, kushirikisha maoni ya kada mbali mbali kwenye kutekeleza mambo na kero zilizopo na mengine mengi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sifa kuu ya Msingi ya Mwl hakuwa Mwizi. Hii ni sifa kubwa yenye uwezo wa Kumtangaza bila ya kuongeza chumvi. Kwenye suala la usikivu napata kigugumizi nikikumbuka Operation vijiji vya ujamaa 1974 alishauriwa kuanza maandalizi ya muindombinu then watu wataifuata Automatically yeye akalazimisha watu waanze kukusanywa kuanzisha miji bila ya kujua kuwa miji hukua automatic kutokana na sababu kadhaa za kiasili (natural) na za kibinadamu ( artificial). Ukitaka kujua alikuwa Mzee Hambiliki rejea historia ya Mzee Mtei ( devaluation of currency), Mzee Kambona( azimio la Arusha),Mzee Christopher kasanga Tumbo ( vijiji vya ujamaa) Mzee Aboud jumbe na Malecela ( serikal 3) hivi leo wote mawazo yao yanaonekana yalikuwa sahih kuliko ya Mwl 'wenye mifano niliyoainisha.
Jakaya: ana tabia za kitanzania wa leo, mpenda masihara, sherehe kuliko kazi n.k .Rais Bora wa Nchi yetu alikuwa ni Mzee Benjamin william Mkapa.
 
Mwl JKN alijitahidi kujenga mshikamano, upendo, amani miongoni mwa watanzania wote. Baadhi ya rasilimali kama madini, gesi hakutaka kuzirukia gafla akitegemea watanzania watafikia mahali waweze kuzichimba na kuziprocess wenyewe kwa manufaa yao wenyewe.

Mwl alikuwa mtu mungwana na msikivu sana na anayeshughulikia jambo kwa wakati ( sifa kuu ya baba )

Mwl hakupenda ubinafsi wala uonevu dhidi ya tabaka la chini bali alipenda watanzania wasaidiane kwa hali na mali ili waweze kujikomoa kwenye matatizo yaliyowakabili

Mwl hakubagua watu kwa itikadi za kidini, kikabila, kikanda wala kimtizamo bali alijaribu kuweka watu karibu na pamoja

JMK amekuwa kiongozi mzito kufanya maamuzi sahihi pale yanapotakiwa kabla jambo halijaleta madhara makubwa

JMK amekuwa mtu wa kusubiria aone reaction ya watu ndiyo aende kwenye uelekeo wao ili kuwin majority ( cheap popularity )

JMK amekuwa akishindwa kutofautisha mambo ya kichama na kitaifa. Ameshindwa kujua kuwa yeye ni kiongozi wa itikadi zote na watu wote

JMK amefumbia macho mambo mazito ambayo yalitakiwa yeye kama baba atoe tamko
Mfano: Mauaji yenye Utata, mauaji ya watu wasio na hatia, kuteswa kwa raia, rushwa iliyokithiri, utoroshwaji nje wa rasilimali za taifa, udini, n.k

JMK amekuwa mtu wa kuwakingia kifua watu wasiyowema kwa taifa mfano wezi wa EPA, walifocha vijisenti new jersey, kashfa ya radar, kashfa ya Jairo na Luhanjo

JMK amekuwa akipotoshwa na viongozi wake waandamizi bila kujua. Mfano hili suala la gesi kumekuwa na kasoro ya kutoshirikishwa na kupewa elimu wana mtwara. Amedanganywa kuwa ni wanasiasa wanawalisha maneno bila kujua hii tz ya sasa siyo ile ya enzi za ukoloni watu hawakuwa na fursa za kujua na kuchambua mambo kiyakinifu

Ushauri: Kero za wananchi zisikilizwe na kupatiwa ufumbuzi, kuacha kutumia nguvu ya ziada dhidi ya wapigania haki zao, kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu rasilimali za watanzania, kushughulikia kasha za rushwa na ufisadi kwa uwazi na haraka, kushirikisha maoni ya kada mbali mbali kwenye kutekeleza mambo na kero zilizopo na mengine mengi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hakuna asiyekuwa na sifa, hata mapungufu wanayo kila mm

Hakuna asiyekuwa na sifa, hata mapungufu wanayo kila mmoja
 
Back
Top Bottom